Wadau nahitaji kwenda ilemela au nyamagana niko Sengerema naombaa wa kubadilishana na mwl. Anaehitaji kuja sengerema idara ya sekondari 0712905698 & 0786952954
 
Mwl Jonson wa Nzega-tabora anatafuta mwl wa kubadilishana nae toka Moshi kama uko tayari mcheck kwe 0689579655
 
kama vp weka mawasiliano,nahtajikuja sengerema niko mbogwe geita kuna mshkaji yuko moro inahtaj kuja mbogwe hvo 2pia contact ila uwe secondari.

Mimi nipo idara ya msingi na mawasiliano yangu ni haya hapa 0787929878 AU 0762206989
 
Njoo Arusha wilaya ya Ngorongoro mimi nije Mwanza wilaya yoyote, Geita, Tabora,Nzega,Kahama, Mbeya, Dodoma, Arusha mjini..piga simu namba 0762770455.Idara ya sekondari
 
NJOO GEITA NIJE MOROGORO MANISPAA AU
DODOMA MANISPAA. (idara ya sec) 0764264315.
 
kama vp weka mawasiliano,nahtajikuja sengerema niko mbogwe geita kuna mshkaji yuko moro inahtaj kuja mbogwe hvo 2pia contact ila uwe secondari.

Mwambie huyo mshikaji wa Moro aje Chato Mjini-Geita. 0764264315.
 
Mwalimu wa kubadilishana kutoka nyamagana au ilemela kwenda sengerema halmashauri(mjini),idara sekondari nauli ya uhamisho ipo,mawasiliano 0712905698

Umesomeka mdau takutafuta napajua ni pazuri mno sengerema nshawahi kufanya kazi hapa by the way maisha mazuri affordable na huduma za kijamii pia zinachangamka mimi nakukarbisha sana
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana






nahtaji mwalimu wakubadilishana nae sekondary somo la kiswahili nipo simiyu halmashauri ya nyashimo shule ipo km moja toka halmashauri,kwenda mwanza ni 5000 mimi nije pwani wilaya ya mkuranga.
mawasiliano 0768560009 au 0763052800 tuma ujumbe mfupi(mesage)
 
mimi mwl. sekondari somo la kiswahili na hist nipo simiyu halmashauri ya nyashimo.shule ipo mjini km 1 toka halmashauri kwenda mwanza nauli 5000 mimi nije mkoa wa pwani mkuranga.
mawasiliano 0768560009 au 0763052800 tuma ujumbe mfupi(mesage)
 
Back
Top Bottom