Mwl REGNA yupo HALIMASHAURI YA WILAYA SIMANJARO idara SEC anatafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka ARUSHA au KIBAHA-PWANI no 0763706220
0756231236
 
Nipo wilaya ya mbinga mkoa wa ruvuma nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa singida idara sekondari.nicheki kupitia 0765070911
 
Nipo Tanga-Handeni idara ya sekondari kwa aliyetayari kubadilishana kutoka Morogoro,chalinze,kibaha,mlandizi, nicheck 0754-245636
 
Mimi MWL. Tukwisa wa Tabora nzega shule ya msingi naomba kubadirishana na MWL toka mbeya, iringa, njombe. Wasiliana nami 0752828026 na 0763445658, 0719041079
 
Natafuta mwl wakubadilishana naye kutoka mkoa wa mbeya mm niko iramba singida idara ya sec tuwasiliane kupitia no 0765879382
 
Mwalimu yulo Tabora mjini anatafuta mwl wa kubadilishana kituo cha kazi aliyepo Moro mjini au kibaha. Kama upo tayari ni pm
 
Mwl wa Sekondari yupo Singida mjini anatafuta mwl wa kubadilishana naye kituo cha kazi aliyepo kibaha au kinondoni
 
Wadau kama kuna Mwalimu idara ya sekondari anayehitaji kuja Manispaa ya Musoma,sharti atoke manispaa ya Morogoro, Iringa, Dodoma, Mdogo wangu anataka awe karibu na familia yake mawasiliano 0767976500
 
Waliopangwa ajira mpya kama unataka kasulu na umepangwa babat, morogoro,korogwe dodoma idara ya sekondari tuwasiliane 0756729922
 
Npo idara ya sekondari Shinyanga vjjn namtafuta mtu wa kubadilishana naye mkoa wa Manyara wilaya yoyote km kuna mtu yupo tyar ni pm
 
mimi mwlm wa shule ya sekondari handeni mkoa wa tanga natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje manispaa ya tanga mimi niende manispaa ya moshi. Nina mwaka mmoja kazin nina tsd na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas

kaka siha au hai vp huend? Kama vp nikuunganishe
 
Kwa walimu wapya! Nimepangiwa bariadi simiyu kama hupo tayari tubadilishane mm nije bagamoyo, kibaha. Dau lipo tunaongea no ni 0688156111
 
shemeji yangu yupo Dodoma wilaya ya Kongwa, anataka ahamie morogoro au kibaha au dar, mwalimu wa sekondari.
 
Back
Top Bottom