Je we ni mwalimu idara ya sec? njoo moro gairo mi nije mwanza ilemela, nyamagana au sengerema. Mawasiliano piga 0783708119/ 0753813219
hebu njoo Musoma manispaa kama uko tayari uni PM ili mi nije huko Gairo
 
Naitwa norah pius ni mwalimu shule ya msing wilaya ya kigoma mjini tuwasiliane atakayependa kuja huku ningpenda arusha,moro,tanga,dodoma,kibaha,kilimanjaro na penginepo 0785080410
 
Mwalimu wa sekondari yuko morogoro(mvomero) anataka kubadilishana na mwalimu aliyeko singida(manispaa) kama upo tayari ni pm....
 
Mwalimu wa sekondari yuko morogoro(mvomero) anataka kubadilishana na mwalimu aliyeko singida(manispaa) kama upo tayari ni pm....
Musoma manispaa vp utataka? Au kama kuna mtu kutoka huko anataka kuja huku unipm
 
Mwalimu wa sekondari yuko morogoro(mvomero) anataka kubadilishana na mwalimu aliyeko singida(manispaa) kama upo tayari ni pm....
Hebu njoo manispaa ya Musoma mi nije huko wilaya ya Mvomero kama uko tayari unipm tuanze mchakato Tamisemi
au kama kuna mtu anataka kuja huku tuwasiliane
 
MWL. shule ya Msingi kutoka MAGU mwanza. Kwa MWL.kutoka maeneo ya Kibaha, Mkuranga, Morogoro Manispaa, bagamoyo au DAR.ani-pm.
 
Naomba mwalimu wa kubadilisha naye idara sekondari,atoke mbeya,rukwa,iringa,songea na moro aje mara-serengeti.
 
Anayetaka kuja Moshi-Kilimanjaro idara ya sekondari kutokea pwani kibaha tuwasiliane kwa namba 0757170397 or 0689551884
 
Anayetaka kuja Moshi-Kilimanjaro idara ya sekondari kutokea pwani kibaha tuwasiliane kwa namba 0757170397 or 0689551884
 
Mwl. Musyangi wa Kalembo s/m, Chamwino nataka kubadilishana na Mwl. aliyeko Manisipaa ya Dodoma au Bahi. No. yangu ni 0684247644
 
Kwa mwl wa secondary anayetaka kuja serengeti niende moro,pwani,dar,iringa,dom,arusha,kilimanjaro,mwanza.piga 0714080615 au 0686649203 au 0754391947
 
Back
Top Bottom