Nipo mvomero idara ya msingi nahitaji kwenda Dar manispaa yeyote alie siriaz anicheki 071804943
 
Jamaani wengne nazan mnaleta macara ww kama una intrest sema nae co unamfundisha mtu pakuishi w kama nani kueni makin nyie walimu bana aha
 
Mwenye kuja dodoma, chamwino! mm nimepata nafasi dsm issue ni wewe uhangaikie uhamisho wako huko ili uje dom chamwino idara ya msingi mm nisepe niende dsm! halahala muda umeisha! NB: sio mm ni ndugu yangu wa damu!!!!!!

Hapa mantiki ni kumpata mtu atakaenijazia nafasi yangu, sio kubadalishana! Nadhani naeleweka wakuu!!

CC: Elly Andrew, Negative 1, Mcheza Karate, thobias20, AHMED KATSH, Msangule Jr. lyosiii, iPad ya Apple, @gelcomond, Joseph Isaack, milioni milioni, Bible, mupanga, irumba1, Devla, seveline, Obbyally mbasha, dumpwa, Mkomawatu, cosM, Hans Pol, MUHASIBU, ketakono, babu Mlezi, kichwaones, Ami B, ZeMangi, veara, ytara jr, mbwiganyuki, benuard joseph, MBALANGU, BISHOPSAMY, the ultimatum, mbogyo, Gangnyota, Kazitunayo, Fino da Final, BigFish Classic, YUSUPH SHEKILINDI, Chinga One, sheizashafi, sundoka, msugupendingwite, Ndala ndefu, kitafura, Kibambaza, Marcy, LOIM, Mdume, Spellan, Morick, KIPWELA, Chiduo, julimushi, Materu materuni, CHALII TZ, WA MAKOBHWEO, analgesic, Mwasandembwa, ayuli, Gwakukaja85, NNETE, unique mathias, @mshuzaz, van Sam, Remmy kayanda, M.KABAKA, MAKOLE, Wazo la kabwela, Julius M, Suip, mwasheni, Mkoroshokigoli, RIKAB, 196, Edison, Laurence, Tanzanite klm, Magwira, NGANU, Enjoy Fumbo, comson, profeas mbiti, Wemba, M2mishi, SODOKA, Bhihalo, Massawe g.i, josam, ngwilla, Kitaeleweka, sakama, Joel Ezekiel, Lingulasi, NSWECKY. Felipe Haidary, Neilntan na wengine kibao bila kumsahau mkuu the Blue G atie baraka mchakato huu ili ufanikiwe!

NB:Kwa yeyote anaetaka mchongo wa kuhamia Arusha(Sio habari ya kubadlishana, basi anitue)! Naomna kusisitiza ni mchongo wa kibongo bongo!

Ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
mimi nipo Kibiti pana maji, umeme na karibu na dar usafiri kuja Dar ni lisaa limoja na nusu na unapatikana hadi saa 2 usiku kila siku. kwaiyo kwa wale ambao wangependa kuwa karibu na DAR au kuishi maeneo haya tubadilishane....mimi nipo idara ya sekondari na nina TSD namba, barua ya kuthibitishwa na barua ya kudumu ya ajira,, nataka kurudi home TANGA manispaa au hata wa Dodoma manispaa pia naweza kubali. if you are interested poke me through sheizashafi@yahoo.com
 
Mi npo ubungo nataka kuondoka nmepachoka ni shule ya msing kunakila kitu nataka kwenda kwa wakabaji tmk aliye tayar fasta tupge mchongo nafas n chache jamaaaaan
 
mimi nipo kibiti pana maji, umeme na karibu na dar usafiri kuja dar ni lisaa limoja na nusu na unapatikana hadi saa 2 usiku kila siku. Kwaiyo kwa wale ambao wangependa kuwa karibu na dar au kuishi maeneo haya tubadilishane....mimi nipo idara ya sekondari na nina tsd namba, barua ya kuthibitishwa na barua ya kudumu ya ajira,, nataka kurudi home tanga manispaa au hata wa dodoma manispaa pia naweza kubali. If you are interested poke me through sheizashafi@yahoo.com

ningeomba tubadilishane uje morogoro manispaa lakn nina wasiwasi nisije pelekwa tofauti na hapo ulipo
 
Mimi ni mwalimu idara ya secondar kutoka wilaya ya Mbinga natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Singida na Manyara.nichek 0765070911
 
Back
Top Bottom