mazee mbona sioni mrejesho kutoka kwa mwalimu yeyote ambae amefa nikiwa kupata uhamisho kupitia post zilizomo humu ndani? any way kama uko morogoro na unataka kuhamia lushoto usipate tabu mwalimu mwenzangu nijulishe tu nitakutafuta....!
nipo wilaya ya Mbinga nataka mwalim wa kubadilishana toka mkoa wa Singida na Manyara.mawasiliano 0765070911
Kwa yeyote anaetaka kuhamia arusha, anistue!
Mi Nipo dodoma Nataka kuhamia morogoro
sekondary?0762084825
mimi nipo kibiti pana maji, umeme na karibu na dar usafiri kuja dar ni lisaa limoja na nusu na unapatikana hadi saa 2 usiku kila siku. Kwaiyo kwa wale ambao wangependa kuwa karibu na dar au kuishi maeneo haya tubadilishane....mimi nipo idara ya sekondari na nina tsd namba, barua ya kuthibitishwa na barua ya kudumu ya ajira,, nataka kurudi home tanga manispaa au hata wa dodoma manispaa pia naweza kubali. If you are interested poke me through sheizashafi@yahoo.com
Me nipo Dar kinondoni idara ya msingi, mataka kwenda moro mjini au Iringa mjini