Kama uko tanga ngoja nimwambie mchiz wangu wa huko nae anataka kurudi huko naye amepangwa tunduru. tunduru bana cmba.
 
Nimesikia tetesi kutoka kwa waalimu; TAMISEMI imefuta huu utaratibu wa kubadilishana vituo, hivyo ukitaka uombe uhamisho wa manyanyaso,
 
Mwalimu anayetaka kufanya kazi wilaya ya NGARA-KAGERA kutoka mikoa ya MBEYA, IRINGA NA RUKWA tuwasiliane kwa namba 0682971333
 
Kichwa chajieleza natafuta mwalimu kutoka wilaya ya KARATU- Arusha aje KAHAMA-Shinyanga. Nafundisha shule ya msingi ambayo iko karibu na mji wa Kahama. Anayehitaji na yuko serious awasiliane nami kwa 0788752981
 
Kichwa chajieleza natafuta mwalimu kutoka wilaya ya SIMANJIRO- Manyara aje KAHAMA-Shinyanga. Nafundisha shule ya msingi iko penye mazingira mazuri. Anayehitaji na yuko serious awasiliane nami kwa 0687785559 au 0688304507.
 
Unaweza kutuambia ni sababu gani znazokufanya upakimbie huko kahama ndugu mwalimu?
 
Perry mbona umeamua kuwasakama walimu hivyo bwana,ww ulifundishwa na nani ama umetumwa uwazibe midomo yao humu?
 
Mimi ni mwalimu wa shahada kutoka mwanza wilaya ya ukerewe nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kutoka sumbawanga na anahitaji kuja mwanza wilaya ya ukerewe. Tuwasiliane kwa namba hizi hapa 0753129908/ 0758966940
 
Piga kazi Mwalimu ukiwa na fikra za kuhama akili yako haitatulia. Nchi hii ni kubwa na ni yetu sote hivyo jisikie uko nyumbani popote utakapo pelekwa kufanya kazi. unaweza kuhamia Sumbawanga saa hizi badae ukahamishiwa Tarime.

Piga kazi jembe ajira za serikali ni kambi popote.
 
ushawahi kutunza mzazi mzee au mgonjwa wakutegemea kupewa kila huduma... "Masaburi thinking''
Wewe ndio unatumia masaburi! kama mzazi ni mzee wa kufanyiwa kila kitu ni dhahiri kabisa kwamba lazima apatikane mtu wa kua nae muda wote sasa huyo Mwalimu inamaana atakua haendi kazini na kubaki mzazi nyumbani ? Ndio maana huwa mnanyimwa uhamisho kwa sababu mnatoa sababu nyepesi sana. waalimu wenye hoja za msingi huwa wanahamishwa kirahisi sana bila kupata mtu wa kubadilishana nae, tatizo mliowengi hamjui kujenga hoja.hoja yenu ni hiyo hiyo ya kutunza wazazi
 
good for you,.. With your better excuses... HIVI UNAUJUA UANGALIZI WA MTU BAKI HATA KAMA UNAMLIPA!!! Ingekuwa hivyo kila mtu akisafiri angeacha nyumba na watoto chini ya uangalizi wa house girl/boy halafu akaondoka(wewe waweza hii)... Unakijua kisirani anachokuwa nacho mzee mgonjwa au ahitajie uangalizi!?? Afadhali hata mjamzito... FACT ILIKUWA ATLEAST MTU UWEZE KUJIVIKA VIATU VYA MWINGINE S'TIMES... Mtoa mada hakuitaji kusema sababu ya kuhama..ila alihitaji mtu abadilishane nae...sasa chokochoko za wadau kama wewe ndio zimemfanya aongee family problem...
 
Wewe ndio unatumia masaburi! kama mzazi ni mzee wa kufanyiwa kila kitu ni dhahiri kabisa kwamba lazima apatikane mtu wa kua nae muda wote sasa huyo Mwalimu inamaana atakua haendi kazini na kubaki mzazi nyumbani ? Ndio maana huwa mnanyimwa uhamisho kwa sababu mnatoa sababu nyepesi sana. waalimu wenye hoja za msingi huwa wanahamishwa kirahisi sana bila kupata mtu wa kubadilishana nae, tatizo mliowengi hamjui kujenga hoja.hoja yenu ni hiyo hiyo ya kutunza wazazi

ambacho nakiri nimekosea ni kutumia offensive language ..''m*s*b#r'' sorry mkuu..hopefully there is no hard feelings
 
Unaweza kutuambia ni sababu gani znazokufanya upakimbie huko kahama ndugu mwalimu?

wewe, nimegundua ni MJINGA kweli... unapost irrelevant coment kwenye kila thread ya mtu... hivi ume elewa mleta maada kasemaje?? anakuambia anahitaji mtu wa kubadirishana nae!!!, katoa contacts zake pale, ili mwenye haja awasiliane nae, NOT otherwise.... eti unauliza sababu sababu....!!!! sababu anazo yeye kama una haja mpigie katoa namba zake hapo, kwa nini unakuja kubadirisha mawazo ya wachangiaji na kuhama thread?? nime kuangalia sana you don't deserve to be a great thinker. ( PERRY) you look an IDIOT, am worried of your education status......
 
Back
Top Bottom