Jamani naombeni ushauri wa mawazo mdogo wangu yeye kapelekwa morogoro kilosa,lakini kuna rafiki yake walimaliza nae yeye alikuwa tayari ni muajiriawa halmashauri ya muheza ajira zimetoka amepata nafasi Tanga mjini lakini amemwambia mdogo wangu kama anataka kwenda tanga afuatilie hiyo nafasi.naombeni ushauri akitaka ku drop kilosa na aende tanga inawezekana na kuna process gani za kufanya.asanteni
 
Natafuta pia mtu wa kubadilishana nae mwenye degree mikoa ya moro,tanga,mbeya,iringa,pwani na dodoma mjini,mimi niko kiteto-manyara
 
Nimepata ajira uwalimu kilimanjaro (siha) lakini nilitaka kufanya kazi morogoro.kwa yeyote anayetaka kubadilishana nami naomba tuwasiliane kwa simu namba 0656956610 au 0784052359.asanteni.

maisha popote wewe,nenda kwanza karipoti uone mazingira na fura zilizopo
 
yaani ulipapangiwa ni sehemu nzuri sana wala usibadilishane na mtu ull enjoy life there.tena mshukuru mungu mjini life like so simple utasave hela sana gogogogogogogo
 
Si mpaka ulipoti kwanza mkubwa hafu mchakato huu ufanyike tupo wengi sana mie nataka kanda ya ziwa hasa ilemela,magu au nyamagana so usiwe na haraka sana
 
Ebana Ben Shem wako kapangiwa Halmashauri ya Tabora vijijin, Iv ofisi zake ziko wapi na location ya tbr vjjn ni ip? Coz mimi c mkaz wa tbr ila nimeishi tbr mjin wakati nasoma MILAMBO boyz.
mimi nipo tabora nataka kufanya kazi nje na tabora kwa sababu mi mzaliwa wa mkoa huu hivyo nataka nifanye kazi nje ya mkoa wangu nipo tabora vijijini km 26 kutoka tabora mjini,usafiri wa uhakika upo lipo basi nauli sh 2500 hadi tabora mjini.
kwa mwenyeji wa tabora nipo barabarani kuelekea ulambo.
nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri.
 
Ndugu wanajanvi, mimi ni miongoni mwa waalimu walio ajiriwa mwaka huu, nimepata mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi ila sote hatujui utaratibu unakuwaje. Hivyo nawaomba ndugu wapenda mtusaidie katika hili. Asanteni na mungu awabariki.
 
Wadau nimepangiwa kituo cha kazi Singida vijijini,natafuta mwalimu wa kibadilishana nae kwa wilayaa zifuatazo
1. mosh mjn
2. mosh vjjn
3. hai
4. siha
5. morogoro
Pia mwenye detail za kutosha kuhusu singida vijijin naomba anipatie.
 
nendeni mkaripoti vituoni kwanza halafu watawaandikia barua,lakini wengi huambiwa wasubiri kuingizwa kwenye malipo
 
Singida pa zuri sana usipoteze mda nenda karipot.ni pm namba yako nikuunganishe na mtu atakaye kupangia sehemu nzuri
 
Nimepangiwa kituoa cha kazi UALIMU SEKONDARI simanjiro.naomba kubadilishana na mtu yeyote aliyepangiwa Mbeya(mbozi au mbeya mjini au dsm).
aliyetaayri tuwasialiane achia namba zako hapa au inbox
 
mm nimepangiwa Singida vjjn,natafuta wa kubadilishana nae ngaz ya shahada ktk wilaya za mosh mjn,mosh vjjn,hai,siha,morogoro mjn.
 
Yaani wewe unachagua sehemu za kufundisha? Basi nenda private school.
 
mimi nipo tabora nataka kufanya kazi nje na tabora kwa sababu mi mzaliwa wa mkoa huu hivyo nataka nifanye kazi nje ya mkoa wangu nipo tabora vijijini km 26 kutoka tabora mjini,usafiri wa uhakika upo lipo basi nauli sh 2500 hadi tabora mjini.
kwa mwenyeji wa tabora nipo barabarani kuelekea ulambo.
nafikiri nitakuwa nimeeleweka vizuri.

kama upo tayari njoo Mpwapwa Dodoma, mimi nipo huku.
 
Natafuta mtu wa kubadlshana naye awe ametokea moro,bagamoyo,charlze,kibaha or dar me nipo mwanza no yang ni 0764750575 au 0658750575
 
Back
Top Bottom