Lakini ndo wanaokufundishia watoto wako mkuu.Naona si lugha nzuri hii uliyotumiaKuwa Mwalimu ni laana, yaani kila kona mna matatizo.
Mkuu nimekutumia ujumbe naomba uuchekiHivi inachukua muda kuweza kuhama , baada ya kuajiriwa (waajiriwa wapya) natamani kuhama nipo Dar es salaam , nataka kwenda Morogoro mjini !
Wadau mkuje kulima pamba hukuNJOO SIMIYU NIJE PWANI, DAR AU MOROGORO, WILAYA YOYOTE
Wadau mkuje kulima pamba hukuNJOO SIMIYU NIJE PWANI, DAR AU MOROGORO, WILAYA YOYOTE
Njoo kilosa mkuuKuna mahala nimeliona
Tangazo: natafuta wa kubadilisha kituo idara ya elimu sekondari aje mbeya mji mdogo wa mbalizi nauli 450/= mpaka mbeya jiji nije morogoro manispaa
Mawasiliano 0717 370274
0625 761228
ndugu mwalim em soma vizur tangazo hilo .........Njoo kilosa mkuu