hivi wadau, mbali na hapa jamii forum kule whatsap kwenye magroup pia tunachangamkia fursa za kutafta wa kubadilishana nao?, au kule fb? maana kule pia watu wanapatana
 
Mimi ni mwalimu wa msingi halmashauri ya Ngorongoro, je naweza kubadilisha kituo Cha kazi ndani ya halmashauri yangu? Na je nafuata utaratibu gani mpaka nifanikishe uhamaji huo?
 
Back
Top Bottom