Hawa unaowaona hapa wengi wao waliajiriwa na mkwere .Walimu wenzangu nyie mlipataje ajira naombeni connection hapo Tamisemi huu mwaka wa nne bila ajira Nina shahada ya elimu masomo ya biology na geography.
Aende SimiyuAnayetaka kwenda Same harafu yeye aje mkoa wa Geita wilaya yeyote.
Simiyu wilaya gani?Aende Simiyu
Nichek What's up tuyajengeSimiyu wilaya gani?