Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae niko mkoa wa MTWARA, wilaya ya TANDAHIMBA; nataka kuhamia wilaya yoyote ya mkoa wa TANGA au KILIMANJARO. Mimi mwalimu wa sekondari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.