Njoo mbulu manyara nije arusha jiji, dc, moshi vijjni, hai, siha, kibaha, chalinze, mlandizi, bagamoyo or dar es salaam idr mcngi 0742501589
 
njoo arusha na mm nije katavi, sumbawanga au mbeya. idara sec 0755204636


njoo arusha na mm nije tanga au morogoro. idara sec. 0755707867

tutafanya mchakato soon.
 
Msaada ndugu walimu idara secondary nataka nirudi mbeya wilaya yeyote kubadilishana toka mtwara wilaya newala shule ya wilaya mjini nataka kurudi karibu na nyumbani namba yangu 0688691414,0754404921 na 0676261328:attention:
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Mimi ni mwalimu Idara ya Sekondari kutoka Katoro Geita, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Morogoro Manispaa au Morogoro vijijini.njoo PM kwa mawasiliano zaidi
 
Walimu kwa yoyote anaetaka kubadilishana vituo vya kazi idara sec, njoo Lushoto_Bumbuli
Mimi nije ulipo wewe, mkoa Pwani, Morogoro, Mtwara, Dodoma, Mbeya Iringa, shinyanga Tabora, ni Pm km upo tayari

Njoo kilwa masoko nije lushoto
 
Back
Top Bottom