Msaada ndugu walimu idara secondary nataka nirudi mbeya wilaya yeyote kubadilishana toka mtwara wilaya newala shule ya wilaya mjini nataka kurudi karibu na nyumbani namba yangu 0688691414,0754404921 na 0676261328:attention:
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:
Mimi ni mwalimu Idara ya Sekondari kutoka Katoro Geita, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Morogoro Manispaa au Morogoro vijijini.njoo PM kwa mawasiliano zaidi
Walimu kwa yoyote anaetaka kubadilishana vituo vya kazi idara sec, njoo Lushoto_Bumbuli
Mimi nije ulipo wewe, mkoa Pwani, Morogoro, Mtwara, Dodoma, Mbeya Iringa, shinyanga Tabora, ni Pm km upo tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.