Mimi nipo dar nataka Morogoro.
Nenda dom bhana, ni karibu na moro tu!!
Mimi nipo dar nataka Morogoro.
huu sasa ni u.................... kama nyie wote anataka kuhama kwa nini msubili huyu muha(wa kasulu) aandike ndio na nyie mchangie?
Sasa si useme kama unataka kubadilishana? Sio lazima upangiwe shule anayotoka. Mimi pia nipo Chamwino tubadilishane basi Mkuumkuu the deala upo chamwno shule gani? me npo dar
Mimi nipo tanga nataka ruvuma au mbeya
mkuu the deala upo chamwno shule gani? me npo dar
Sasa si useme kama unataka kubadilishana? Sio lazima upangiwe shule anayotoka. Mimi pia nipo Chamwino tubadilishane basi Mkuu
mie niko olympio dar nataka kwenda kintinku Dodoma ama naputa tandahimba yupo wa kubadilishana?
nafanya kazi wilaya ya rorya mara napenda kwenda musoma mjini mwalim mwenye hitaji tuwdiliane
Mimi ni mwalimu nipo wilaya ya Bagamoyo natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa manisipa ya Tanga wa kubadilishana nae. Mawasiliano .mwangaza.lyimo339@gmail.com