Rudi dasarani mwana na hiyo meo yako hicho ni kifupisho cha neno au ndo kazi yenyewe? Meo?
 
Hbr natafuta meo wa kubadilishana nae kituo cha kazi ,mimi nipo kata ya igoma wilaya ya nyamagana Mwanza.mawasiliano 0658281154

umtoe mtu maji chumvi umepeleke kula sato mmh sidhani kama utampata
 
Hauko makini,Ujumbe wako hauwafikii walengwa kwa hicho kifupisho "meo" Rekekebisha/fafanua/refusha.
 
Kwani alipost hiyo ameenda wapi tena? Mbona hatoi maana ya Meo? Basi mm niwape MEO- municipal education officer. Ha ha ha!
 
Kwani alipost hiyo ameenda wapi tena? Mbona hatoi maana ya Meo? Basi mm niwape MEO- municipal education officer. Ha ha ha!

Hajasema MEO amesema meo,nani amekwambia ni kifupi cha maneno?tumuache meo wa watu akiwa na shida atarudi tena
 
Wakati mwingine bora kufunga bakuli...!!! Mtaa Ex Off.. ?? Lazima ulifaulu alama za juu kutoka chini kama yule mbunge Lusinde !!
Watu wengine... Kama hujui si ukae kimya? Unaishi nchi hii na hujui kama Kuna Mtaa Executive Officer?

Bila shaka unaishi kijijini wewe. Na watu kama wewe ndio mnatarajiwa mkatoe maoni ya Katiba mpya huku hamjui mfumo wa utawala wa nchi yenu? Haya nenda www.tamisemi.go.tz ukapate shule kidogo kuhusu organization structure ya serikali za mitaa
 
Sina haja ya kwenda popote, kama huu ushuzi ndiyo matokeo ya yule waziri mwenzio wa mjini anayeiambia dunia Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Togo basi bora mwende tu huko Omani, mkaishi kwa siku chache kufurahia matokeo ya pundamilia wetu mliotuibia kabla hatujawakamata na kuwarudisha ili mkatesee segerea.

WTF Mtaa exc officer, kwa nini basi isiwe Kata ex off na Tarafa ex officer pia...? Kuongeza vyeo mbusi bila sababu za msingi, kuna mwenyekiti wa mtaa, sasa huyu mwingine wa nini ?? Kujitafutia ulaji tu na urahisi wa kuiba kura... !!

Watu wengine... Kama hujui si ukae kimya? Unaishi nchi hii na hujui kama Kuna Mtaa Executive Officer? Bila shaka unaishi kijijini wewe. Na watu kama wewe ndio mnatarajiwa mkatoe maoni ya Katiba mpya huku hamjui mfumo wa utawala wa nchi yenu? Haya nenda www.tamisemi.go.tz ukapate shule kidogo kuhusu organization structure ya serikali za mitaa
 
heshima kwenu wakuu,natafuta mwalimu wap kubadilisha mi nipo tabora mwl grade 3. mawasiliano kwa aliye tayari 0785854807 0762129759 natanguliza shukrani.
 
We wa ajabu sana! Hivi unatangaza humu? Walimu hawana muda wa kutembelea humu maana mazingira yao magumu sana!!!
 
Sina haja ya kwenda popote, kama huu ushuzi ndiyo matokeo ya yule waziri mwenzio wa mjini anayeiambia dunia Tanzania ni muungano wa Zimbabwe na Togo basi bora mwende tu huko Omani, mkaishi kwa siku chache kufurahia matokeo ya pundamilia wetu kmliotuibia abla hatujawakamata na kuwarudisha ili mkatesee segerea.

WTF Mtaa exc officer, kwa nini basi isiwe Kata ex off na Tarafa ex officer pia...? Kuongeza vyeo mbusi bila sababu za msingi, kuna mwenyekiti wa mtaa, sasa huyu mwingine wa nini ?? Kujitafutia ulaji tu na urahisi wa kuiba kura... !!
Kuna tatizo kubwa sana kwako kuliko nilivyokuwa nafikiria. Hujui kama hivi Vyeo vipo? Kwamba wanaitwa Ward Executive Officers (WEO)kwa Kata na Division Secretary kwa Tarafa?

Mara nyingi kubalini kuwa wajinga na kujifunza kwa watu waliowazidi upeo badala ya kubwabwaja hapa bila sababu ya msingi.

Hujui tofauti kati ya Mwenyekiti na Afisa Mtendaji? Na by the way kukupa darasa hapa tayari nimeshakuwa mwizi wa Twiga? Kazi kweli
 
Kuna tatizo kubwa sana kwako kuliko nilivyokuwa nafikiria......Hujui kama hivi Vyeo vipo? Kwamba wanaitwa Ward Executive Officers (WEO)kwa Kata na Division Secretary kwa Tarafa?
Mara nyingi kubalini kuwa wajinga na kujifunza kwa watu waliowazidi upeo badala ya kubwabwaja hapa bila sababu ya msingi...............Hujui tofauti kati ya Mwenyekiti na Afisa Mtendaji? Na by the way kukupa darasa hapa tayari nimeshakuwa mwizi wa Twiga? Kazi kweli

Kumbe kutowajua hao ni tatizo? Mmh
Tangu umewajua ten years ago umenufaika na kipi ambacho sisi ambao hatuwajui tumekosa?
 
Kumbe kutowajua hao ni tatizo? Mmh
Tangu umewajua ten years ago umenufaika na kipi ambacho sisi ambao hatuwajui tumekosa?
Ukianzia hapa hata nikikupa darasa utatoka kapa....Rudi mwanzo tulikoanzia halafu kama hutaelewa uje hapa nikwambie faida zake
 
Very interesting >>> are we ever going to have constructive comments. OMG!!
 
Back
Top Bottom