Ok tumeona ila hata mimi nahitaji Mwl wa kubadilishana nae aliyopo wilaya ya Songea Mjini aje Tunduru,kwa levo ya shule ya Msingi
 
Mimi mwl wa shule ya msingi
kalobe iliyopo jiji mbeya
natafuta mwalimu wa
kubadilishana nae kituo cha
kazi kutoka katika manispaa
yoy0te kati ya kinondoni,
ilala au temeke aje jiji
mbeya.
Mawasiliano: 0717 190 619
0755 983 693
 
Nipo kagera,kyerwa idara ya msingi anaitajika mwalimu ya kubadilishana kwenda wilaya yoyote mwanza au Geita
 
njoo kasulu mjini nije kaskazini
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623///0784623525
 
Kwa wale wiomba uhamisho majina yameshatoka kaangalie kama umebahatika. Namshukuru mungu sanaaaa Mimi nimebahatikaa. Inawezekana kuhama jaribu bahati yako.
 
Jamani,
kwa wale walobahatika kupata uhamisho, watujuze jinsi ya kufanya, ili tuepukane na majibu ya
"Wasokidhi vigezo"
 
Kwanza uwe umeshathibitishwa kazini. Pili uwe na sababu ya msingi ya wewe kuhama eidha unacheti cha ndoa,au sababu za kiafya. Tatu unaandukabarua na kuambatanisha hiyo sababu. Nne unaanza kuizungusha kusainiwa kuanza na mkuu wako wa shule afisa elimu then unapeleka huko unakotaka kuhamia ila uwe umeshaomba nafasi nao watasaini kukubali kukupokea then itarudi kwako utaandika nyingine kwenda tamisemi ukiambatanisha hiyo iliyosainiwa pamoja nabarua ya kuajiriwa, tsd no, salary slip ya karibuni. Kwenye hiyo barua inayosainiwa huko wanapokupokea hakikisha wanakupa nafasi ya Mel meingine eidha amefariki au amehama. Hili nilamsingi sanaaa. No hivyo tuuu.
 
Njoo Lushoto nije Korogwe, Muheza, Tanga mji, Dodoma manispaa, Dar es Salaam. Elimu Sekondari 0717008771/ 0683436242.
 
Kwanza uwe umeshathibitishwa kazini. Pili uwe na sababu ya msingi ya wewe kuhama eidha unacheti cha ndoa,au sababu za kiafya. Tatu unaandukabarua na kuambatanisha hiyo sababu. Nne unaanza kuizungusha kusainiwa kuanza na mkuu wako wa shule afisa elimu then unapeleka huko unakotaka kuhamia ila uwe umeshaomba nafasi nao watasaini kukubali kukupokea then itarudi kwako utaandika nyingine kwenda tamisemi ukiambatanisha hiyo iliyosainiwa pamoja nabarua ya kuajiriwa, tsd no, salary slip ya karibuni. Kwenye hiyo barua inayosainiwa huko wanapokupokea hakikisha wanakupa nafasi ya Mel meingine eidha amefariki au amehama. Hili nilamsingi sanaaa. No hivyo tuuu.

Ahsante mkuu,
ktk maelezo hayo sijaona hata moja la kubadilishana kituo,
je yupo alopata uhamisho kwa mtindo huu wa kutaka kubadilishana kituo?
kama yupo naye ajitokeze atupe mwongozo,
manake mmh! sijuwi?
 
Nasema hv;
kama yupo alopata uhamisho kwa kigezo cha kubadilishana,
atujuze jinsi alivyofanya,
tusaidiane jamani!
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote .
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623////0784623525
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote.
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingii 0753045623///0784623525
 
Back
Top Bottom