Angalia jina lako hapa
 

Attachments

  • UHAMISHO_WA_WATUMISHI_MSM_JULAI_2015.pdf
    869.1 KB · Views: 779
  • WASIOKIDHI_VIGEZO_UHAMISHO_JULAI_2015.pdf
    64.3 KB · Views: 340
Njoo Lushoto nije Korogwe, Muheza, Tanga mji, Dodoma manispaa, Dar es Salaam. Elimu Sekondari 0717008771/ 0683436242.
 
UTARATIBU WA UHAMISHO KWA WATUMISHI WA UMMAImetolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa1. Mamlaka za UhamishoKwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na 8. ya mwaka 2002 ikisomwa na Kanuni zake pamoja na Taratibu za Uendeshaji za mwaka 2003 Mamlaka ya Uhamisho kwa watumishi wote wa Umma ni Katibu Mkuu Ofisi Ya Rais-Menejimenti ya Utumishi Wa Umma naKwa maelekezo ya Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi Wa Umma kwa barua Kumb Na. C/CB.271/431/01/62 ya tarehe 8/06/2006 na Kumb Na. C/CB.271/431/01/J/144 ya tarehe 27/08/2007 Mamlaka ya Uhamishokatika Uhamisho wa watumishi katika Mamlaka za Serikali za Mitaayamekasimiwa kwa;i.Katibu Mkuu Ofisi Ya Waziri Mkuu TAMISEMI kwa watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine nje ya Mkoa;ii.Katibu Tawala Mkoa kwa uhamisho wa watumshi wanaotoka Halmashauri moja kwenda nyingine ndani ya Mkoa na;iii.Mkurugenzi wa Halmashauri kwawatumishi wanatoka kituo kimojakwenda kingine ndani ya Halmashauri.2. Aina za UhamishoKuna aina mbili za Uhamisho, nazo ni;a.Uhamisho wa KuombaTaratibu za Kuomba Nafasi:-i.Mtumishi atapaswa kuomba nafasi ya uhamisho kwa kuwasilisha maombi yake ya uhamisho kwa Mkurugenzi wa Halmashauri au Mamlaka anayotaka kuhamia kupitia kwa Wasimamizi wake wa kazi katika kituo chake cha kazi alichopo na Mkurugenzi wake.ii.Wasimamizi wa mtumishi anayeomba uhamisho watapaswa kuhakikisha maombi ya mtumishi yanafika katika mamlaka husika yakiwa na maoniyao kuhusu maombi hayo na sio kuzuia maombi. Iwapo kutakuwa na sababu ya msingi ya kuzuia maombi mwajiri amjulishe mtumishi kwa kumrejesha katika miongozo iliyopoiii.Iwapo Mwombaji hataridhika na maoni /sababu za mwajiri /Msimamizi wa kazi kukataa maombi yake mwombaji atawasilisha maombi yake kwa Katibu Tawala wa Mkoa kwa ushauri na kama hataridhia maombi yatawasilishwa kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI yakiwa na vielelezo muhimu kuthibitisha maombi hayo kukataliwa na Mkurugenzi na kueleza sababu za yeye kuomba uhamisho huo.iv.Mkurugenzi/Msimamizi wa kazi atayeombwa nafasi ya kuhamia atapaswa kumjibu mtumishi kupitia kwa Mkurugenzi wake kwa barua akimweleza kupatikana kwa nafasi hiyo kumetokana na nini ikiwa ni pamoja na kutaja Check Namba za watumshi waliofariki au kuacha kazi.v.Iwapo mtumishi wa umma ataomba uhamisho kwa sababu za kumfuata mume au mke, kujiandaa kustaafu baada ya kukaa miaka kumi nje ya mkoa anaotarajia kustaafia na kukaa katika kituo kimoja kwa zaidi ya miaka mitano anaweza kufikiriwa kugharamiwa gharama za uhamisho hata kama ataomba uhamisho mwenyewe.vi.Mtumishi anayeomba uhamisho atapaswa kuwasilisha maombi yake kwa Katibu Mkuu au Katibu Tawala Mkoa au Mkurugenzi akiambatanisha barua iliyomkubalia kuhamia katika kituo anachotaka kuhamia. Aidhani muhimu amjulishe mwombaji iwapo atagharimiwa uhamisho au la kufuatia kupata nafasi hiyoAngalizo:Hairuhusiwi Mtumishi yeyote kutumia mtu mwingine isipokuwa yeye mwenyewe au Mwajiri wake kwa njia ya posta au Mkono kuwasilisha maombi yake ya uhamisho. Inashauriwa kutumia njia ya EMS au regista kwa urahisi wa ufuatiliaji.Upatikanaji wa Majibu:-i.Watumshi wote walioomba uhamisho watapata majibu yao kwa barua kupitia kwa waajiri wao na sio vinginevyo.ii.Aidha kwakuwa uhamisho huu ni wa wazi watumishi waliokubaliwaau kaukataliwa uhamisho watapata taarifa za awali kupitia Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI yaani www.pmoral.go.tz mapema mwezi Julai kwa maombi yatakayopokelewa kuanzia Januari hadi Juni na mapema mwezi Januari kwa maombi yatayopokelewa kuanzia mwezi Julai hadi Desemba kwa kuwa Ofisi yetu imejipanga kushughulikia masuala ya uhamisho mara mbili kwa mwaka ili kuepusha mwingiliano wa majukumu katika vituo vya kazi kwa mwaka.iii.Mtumishi atakayekuwa na malalamiko kuhusu maombi yakeya uhamisho anashauriwa kuelekeza maombi yake kwa Mamlaka iliyomwamisha kupitia kwa mwajiri wake na msimamizi wa kazi akiambatisha maombi yake ya awali na vilelezo vingine muhimu kama sababu za kuomba uhamisho na ushahidi wa kufikisha barua yake kwa Mamlaka ya uhamisho.iv.Malalamiko ya mtumishi aliyeomba uhamisho na hakupata majibu au hakuridhika na majibu aliyopatiwa malalamiko yake yatashughulikiwa ndani ya siku saba bila kujali muda wa uhamisho yaani June au Desemba.v.Baada ya mtumshi kupata majibu /barua ya uhamisho atapaswa kuripoti ndani ya siku kumi na nnetangu amekabidhiwa barua yake ya uhamisho vinginevyo atachulikuliwa ni mtoro kazini.b.Uhamisho wa KawaidaUhamisho huu ni wa kawaida ambapo Mwajiri au Msimaimizi wa kazi anafanya uhamisho kwa sababu za kuboresha utendaji.Hata hivyo ili uhamisho huo ufanyike pia Mamlaka za uhamishozinatakiwa kujiridhisha uwepo wa nafasi wazi katika Halmashauri anayohamishiwa mtumishi wa hakusababishi upungufu katika Sehemu mtumishi anakotoka au anakohamia.Uhamisho huu kwa kawaida unagharamiwa na Halmashauri inayompokea mtumishi na ile inayomruhusu kwa kumlipa gharama za kufunga mizigo kama ilivyoelezwa kwenye Kanuni L (8 na 13) ya Utumishi wa Umma ya Kudumu toleo la 2009 na marekebisho yake ya mwaka 2010 kwa wakati. hivyo ni muhimu Mamlaka za Uhamisho kijiridhisha na uwezo wa Halmashauri kugharamia uhamisho huo ili kuepuka kuzalisha madeni kwa SerikaliPamoja na utaratibu wa uhamisho kuwa ni uhamisho kufanyika mara mbili kwa mwaka, uhamisho huu wa kawaida unaweza kufanyika wakati wowote katika jitihada za kunusuru utendaji katika kituo alichopo mtumishi au anachohamishiwa mtumishi kwa manufaa ya umma.Angalizo:Mtumishi atakayebainika kughushi saini za viongozi, kuomba au kupokea rushwa katika ngazi yoyote atachukuliwa hatua kali za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumfikishwa mbele ya vyombo vya dola kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.Ni muhimu kwa Waajiri kujiridhisha na majibu ya barua za uhamisho kutoka katika Mamlaka za uhamisho ili kuona kama maombi yake yalifuata taratibu sahihi na watumishi waliopata majibu wanatayarishiwa mapema data sheet na kumbukumbu za utumishi na mshahara ili kuepusha usumbufu kwa watumishi na waajiri wanaowapokea watumshi
 
Jaman c uje kilimajaro-same kwa walima vitunguu,mm nije arusha jiji.
Idara -secondary.
Ni pm via 0682894287
 
Haya Wale Tuliochinjiwa Baharini Na Tamisemi Kwa Kutokidhi Vigezo, Tuendelee Kuweka Matangazo Humu Jf Na Kurekebisha Makosa Yaliyojitokeza. Kamwe Usikate Tamaa Kwani Cyo Mwisho Wa Maisha.
 
Wapo Walimu Babati Waliosubiri Majina Yatoke Waone Kama Wamepata Au La Hivyo Kama Umekosa Mm Nipo Tubadilishane Njoo Meatu Nije Babati Elimu Msingi. Twanga Namba 0764556647
 
Kuna mwalimu sec, yupo njombe makete anatafuta wa kubadirshana nae kutoka mkoa wa ruvuma wilaya yyte,, alie tayar ani inbox nimpatie contacts zake
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Masasi - Mtwara nije Iringa manispaa au wilaya ya Mufindi(Idara ya sekondari)

Njoo Geita - Chato nije Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa wilaya yeyoye(Idara ya sekondari)

Njoo Tabora manispaa nije Morogoro manispaa, Iringa manispaa au Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Mawasiliano: 0767425007

Jamani mimi ni mwl idara ya sekondar ktk halmashauri ya wilaya serengeti mugumu,ninatafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka katika halmashaur ya kilombero na mahenge
Mawasiliano ni 0782001274 au 0786736759,ubarikiwe.

Njoo Kilimanjaro nije mkoa wa Pwani idara ya sekondari
0712040810/0786130408

Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Rombo nije Iringa wilaya ya Mufindi(Idara ya sekondari)

Njoo Geita - Chato nije Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Tanga wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Njombe nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Mawasiliano:0767425007

Mwalimu idara ya msingi yupo musoma mc anatafuta wa kubadilishana nae maeneo ya hai au arusha mc

watu hawataki kurudi makwao

Njoo Arusha mjini nije Dar au Mwanza(Ilemela na Nyamagana only) Idara secondary

Geita vipi? Njo geita mjini
 
Geita vipi? Njo geita mjini

Njoo Mbarali Mbeya nije Dodoma MC, kibaha, moro mc, Dar, 0659136131,0768376112,..idara secondary

Jamani tusaidiane njoo kilimanjaro wilaya ya rombo mi nije bariadi mjini,magu,ilemela,nyamagana.tusaidiane nifate familia yangu .contact 0769 737386.

Anayetaka kuja biharamulo,nauli mpaka Mwanza ni 10000,Nije Tanga,Pwani,Kilimanjaro au Singida Dc.idara ya sekondari.0686896706

Njoo Arusha mjini nije nyamagana or ilemela or morogoro mjini

Fanya geita mjini mm Nije arusha mjini
 
Salam wanajukwaa...
Napanda jukwaani kutafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi Idara ya Elimu msingi kutoka wilaya yoyote katika mikoa ifuatayo Tanga, Pwani, Morogoro, kilimanjaro au Manyara.
Mimi nipo wilaya ya sengerema mkoa wa Mwanza.
Kama unafahamiana na mwalim yeyote mwenyeshida kama yangu tafadhali tuwasiliane Inbox
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom