Njoo ulanga shule iko karibu na ifakara mjini nauli 3000 nije wilaya yoyote ndani ya morogoro,idara ya sekondari 0656621626/0757937204
 
Njo
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums


Njoo ruvuma mbinga idara secondari(sayansi)aje popote
 
Wale wanaopenda fursa za mkoani Kigoma.. Njoo Buhigwa(Manyovu) nije Pwani, Dodoma au Moro
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
habari ndg,
Natafuta mwl wa sekondari wakubadilishana nae aje Mwanza, mm niende Arusha. Kwa alie tayari anichek pm.
 
habari ndg,
Natafuta mwl wa sekondari wakubadilishana nae aje Mwanza, mm niende Arusha. Kwa alie tayari anichek pm.
Kwani hizi mambo bado zipo? Nasikia siku hizi unaandika tu barua kwa DED unakotaka kuhamia ukiulizia kama kuna nafasi ya kuhamia. Baada ya hapo atakujibu kukujulisha kama nafasi ipo na utaendelea na hatua inayofuata!!
 
Back
Top Bottom