Njoo sikonge - Tabora nije mbeya au songwe wilaya yoyote, idara ya msingi
0742197840
 
Mimi Ni mwalimu wa sekondari nipo Babati. Namtafuta mwalimu wa kubadilishana vituo yaani aje Babati niende Misungwi-Mwanza. 0768607418
 
Habari za sahizi wana jf, nimerudi tena kwenu wakuu kwani tukishirikiana pamoja hakuna kitakachokuwa kigumu na amin Mungu atatufanyia wepesi.
Nina ndugu yangu amepangiwa kusomesha kateshi manyara hao wanaoreport sahivi mashuleni, ni mkaazi WA dar we salaam, hivyo kwa ambae anahitaji au anamfahamu muhitaji WA kubadilishana nae (for the benefit on both side), basi naomba antafute kupitia namba
0659086861 au
0692573430.
Ahsanten, kama Kuna sehemu nimekosea kutumia lugha au maandishi naomba mniwie radhi ni sehem ya mapungufu yangu. Au kama Kuna mwenye ushauri na mawazo pia namkaribisha sana
 
Njoo SHINYANGA aje

1)Dar es salaam
2)PWANI
3)TANGA
4)MORO

Idara: msingi
Phone no: 0656199429 / 0782707090
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi kati ya mkoa wa mwanza na geita nae aje kyerwa-
kagera
Idara ya msingi
0763003839
 
Njoo shinyanga ushetu nije
1) Dar wilaya zote
2)Pwani (Mkuranga,Kibaha,Bagamoyo),
3)Tanga jiji,Muheza na Pangani.
4)Morogoro (Manispaa,Kilosa na Mvomero)
5)Dodoma manispaa,Chamwino
idara msingi
0782707090
 
Back
Top Bottom