ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,851
- 41,924
Kwa tanga kuna maduka ni 11000 mengine elf 10000 mombas ni chini ya hapo
nashukuru mkuu,vp kuhusu haya madera ya kisomali kuyapata mpaka wakala au wanayafuata indonesia?Kwa tanga kuna maduka ni 11000 mengine elf 10000 mombas ni chini ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu haya kariakoo yapo kwa bei ya jumla pia unapatnashukuru mkuu,vp kuhusu haya madera ya kisomali kuyapata mpaka wakala au wanayafuata indonesia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Unajua kutofautisha kati ya kijora msomali na indonesia maan ni vitu 3 tofaut mkuu
ndio najua dada hii biashara naifanya sana sasa madera ya msomali kkoo bei juu ,na vijora hivyohivyo sasa nilikuwa nataka niagize namimi msomari bei yake ndio sijuiKwanza Unajua kutofautisha kati ya kijora msomali na indonesia maan ni vitu 3 tofaut mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi msomali fashion yake ipo nyuma ilioko na wakati ni hii indonesia kaka angundio najua dada hii biashara naifanya sana sasa madera ya msomali kkoo bei juu ,na vijora hivyohivyo sasa nilikuwa nataka niagize namimi msomari bei yake ndio sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru dada sasa haya indonesia wanayafuata india au kuna wakala wanamuagiza?Siku hizi msomali fashion yake ipo nyuma ilioko na wakati ni hii indonesia kaka angu
Hayo ndo indonesia mpenzoView attachment 1072507View attachment 1072510View attachment 1072509
Sent using Jamii Forums mobile app
nashukuru dada sasa haya indonesia wanayafuata india au kuna wakala wanamuagiza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninazo za special kama hizo na ndo zna wateja wengi sana now ...ntakuuzia had tsh 28 au tsh 27 kama utahitaj pisi nying ....but wasiliana nami tuongee vizur 0687882820Machimbo ya pochi haswa nainai za bei y chini kuanzia 15000?? Msaada na wale wanaouza viatu vya kike (high hills )kwa box
Msaada mitaa gani au anaejua hufanya hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
PricePia Nimeshusha MZIGO wa MASHATI MAZURI NA TSHIRTS
TUCHEKIANE KWA HII NAMBA 0785 18 21 08View attachment 1071788
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nahitaji one size za kuvaa Mimi nitazipata. Kwa bei ya jumla utaniuzia kuanzia kadeti ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app