Natafuta maduka ya motorcycle tails case box
images%20(30).jpeg
images%20(32).jpeg
 
Nahitaji mashuka yale ya kukata kwa mita mazuri cotton bei nzuri? Ntapata?
Shuka moja na foronya mbili ni 25,000 kuanzia shuka 5

Ukubwa ni 7*8 Cotton nzuri hayachujuki Rangi

Mawili ni 60,000 na foronya nne

Moja ni 35,000 na foronya mbili
 
Back
Top Bottom