Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
1,974
2,000
Wadau naulizia chimbo la kupata zile kamba za kuvaa shingoni za kuning'inizia vitambulisho.
 

Operand

JF-Expert Member
Jan 25, 2020
279
250
kuna vitenge vinaitwa java 3 (ukivaa vina mfumo wa nje ndani)

natafuta chimbo lake kwa bei nafuu kariakoo

kuna sehemu waliniambia doti 1 ni elfu 8 (piece 3 ndani)

Wapi ntapata bei chini zaidi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom