Shukrani
 
Tumeni na picha za bidhaa hususan nguo ,nguo kila fashion ina bei zake
 
Wakala wa products za Lyon plz.... Nataka microwaves, rice cookers, Brenda and alike kwa bei ya jumla name niuze....
 
Naomba kujua machimbo ya vitu vifuatavyo
T-shirt 4m6 zile machinga wanauza 7000
Sandals za kike zile machinga wanauza 3500
Vijora vile wanaviuza 6000
Bidhaa za dukani kama Foil, miswaki, pipi, jaladio, soksi, pencel, pen, daftari, kofuli, lesso n.k
Sandals za kike na kiume za kimasai
Boxer zile zinafungwa tatu tau machinga wanauza 10,000
Jeans ambazo machinga wanauza 12,000

Kwa anayejua akiweka na bei za kununulia kwa jumla itapendeza zaidi.
 
Wakuu naomba kujua wanapouza mkasi wa moto, wenyewe ukikata hauachi nyuzinyuzi unatengeneza smoothness unatumika sana kutengeneza handbags hizi za wadada hasa zile za kichina unakuta wametumia huu mkasi wa moto.
 
Ungeweka na bei mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…