Mwamshe...

Mwambie kuwa una hamu ya kudinywa...

Tatizo liko wapi?
Screenshot_20220603-144009_Gallery.jpg
 
Ndo maana lodge zote ukanda huo mpaka Uganda na Rwanda magodoro yana plastic cover. Matoke na senene sijui huwa zinawafanyeje mabinti wa hizo sehemu.

Niko Bukoba form 6 nimekutana na binti wa Rugambwa sekondari mweh!

Unchuge imana yange bojo...

Mshaija wange....

Emana yawe.....

Mara bomba likafongoka.....Dah!
hahahaha.hy ya godoro nilikutana nayo kigali 2010.hahahaha.ilikua balaa
 
Wabinafsi wanao chukia usalama wa Nchi wasingependa kuona HAKI.Maridhiano siyo ya watu kulamba asali isipokuwa HAKI ktk Nchi.Mtu mpumbavu tu ndiye anayeweza kufikiri Tanzania kuna asali ya kutosha kulambwa wkt GDP yake ni ndogo kuliko utajiri wa Elon Musk.Poverty mentality https://t.co/9tuuBUQCJSView attachment 2249855
Mbona povu kamanda? Jukwaa la siasa lisije likahamia huku stress free zone!

Na kulamba asali wala hakuhusiani na GDP. Hata ripoti ya CAG haikupi mwanga kuhusu ulambaji wa asali unavyofanyika katika nchi hii? Kula kulingana na urefu wa kamba yako je?

JamiiForums-316446224.jpg
tapatalk_1522873691287.jpg
 
Mbona povu ndugu yangu? Mapovu yaende huko jukwaa la siasa hapa sisi hata haya mambo ya siasa tunayachukulia kiutani tu. Stress free yaani...

Na kulamba asali wala hakuhusiani na GDP. Hata ripoti ya CAG haikupi mwanga kuhusu ulambaji wa asali unavyofanyika katika nchi hii? Kula kulingana na urefu wa kamba yako je?

View attachment 2249862View attachment 2249863
Duh naona hujaelewa brother nimeitoa Twitter hiyo check link yake ipo hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom