Sirudii tena jirani kufukua makaburi .
BTW naomba niwe na attend evening classes hapo kwako uendelee kunibrush na Tag Question za Kinyaki
Naomba mahitaji ya muhimu nijue kama vile Ada, kamusi, vitabu n.kKaribu sana mwanafunzi
Nakutumia joining instruction mwanafunziNaomba mahitaji ya muhimu nijue kama vile Ada, kamusi, vitabu n.k
Can't wait kuwa mwanafunzi wako jirani
I am fire for dreaming far away
Kesho nafufuka na narudi kuzimu na mtu
Ukifikia hatua hii jiue mwenyewe, wananzengo kazi yao ni kukucheka tu.Atakuona naniView attachment 1948750
Kisa,mtoto wa mtu,Ukifikia hatua jiue mwenyewe, wananzengo kazi yao ni kukucheka tu.