Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,538
- 13,001
Mwalimu amechoka!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mwalimu amechoka!!! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kiulaini laini namna hiyo! 🤣 🤣 🤣Ndo imetoka hiyo...na nauli hairudi!
View attachment 1874535
Mimi nikiona cover kama hiyo tu wala sijisumbuiNa kuna raia wanaangalia
Aaah wapiBado anashikilia kombe!
View attachment 1875854
Alishanyang'anywa na Anna yule mtoto wa Songea kama ulipitwa pole sana!Bado anashikilia kombe!
View attachment 1875854
Sikuiona hiyo mkuu. Unayo?Alishanyang'anywa na Anna yule mtoto wa Songea kama ulipitwa pole sana!
sasahiv kombe halina mwenyewe mkuuAlishanyang'anywa na Anna yule mtoto wa Songea kama ulipitwa pole sana!
Sponsor habebi masilaha bana. Ila hii nchi basi tu!
Nikumbuke katika ufalme wako mkuusasahiv kombe halina mwenyewe mkuu
MEDIA underdogs wanaotafuta kiki kwa kuandika utopolo... Only in Africa! 🤣 🤣 🤣 🤣View attachment 1875591
Wabongo sisi ni tatizo
Dah sina ufalme mkuuNikumbuke katika ufalme wako mkuu
Duh pole sana, kuna dogo Anaitwa Anna binti wa songea, ukiingia kule kwenye 30 ya Kirumi waweza ikuta...alipindua mezaSikuiona hiyo mkuu. Unayo?
Anashikilia Anna wa Songea, sijajua kama kesi yake ilimalizika!sasahiv kombe halina mwenyewe mkuu
Hivi ile kesi mpaka leo haijaisha? Mi nilidhani yupo mtaani anaendelea kumwaga moto!Anashikilia Anna wa Songea, dijajua kama kesi yake ilimalizika!