Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,348
Mkuu naamini unaelewa. Ila kama hujaelewa ngon nimwite Mshana Jr aje akupe ufafanuziHapana mkuu Mimi huwa nafunguka kwa lugha ya jamii forums huijui mkuu haina ukali
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu kwa kuninyima mwanga tatizo sio lugha ila sasa neno lenyeweMkuu naamink unaelewa. Ila kama hujaelewa ngon nimwite Mshana Jr aje akupe ufafanuzi
Kama kamera ya kwanza ilikuwa hivi je ile kamera iliopiga picha dunia ilikuwa ya namna gani wadau wa NASA!?
mkuu kwa hizo views dunia haina siri uzuri Mimi huko hawanijui nikufuga ndevu tu
Hahahaha mkuu udhaifu wa watu huwa upo ndani kama kichaka na sio sifa mkuu
Hahahaha mkuu udhaifu wa watu huwa upo ndani kama kichaka na sio sifa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha lakini pamoja na views zote hizo watu wanakana kua hawaangaliagimkuu kwa hizo views dunia haina siri uzuri Mimi huko hawanijui nikufuga ndevu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu mkuu kuna moja anaitwa Sarah ananisumbua kwenye email yangu ananiambia tu meet ila ataki mume wake hajue anavyodai yeye kuwa mume wake anamcheat anata kulipiza kisasi Mimi na yeye kwenda kwenye website yao sasa mademu ni wengi hata sura yake haijulikani wala alama yeyote mkuu wazungu watu wa ajabu sana hawa waendesha porn hawa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app