Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,704
- 6,658
Kabisa.Wenye roho mbaya wameshindwa
Kabisa.Wenye roho mbaya wameshindwa
Mapema kabisa kabla haijawa malumbano...
Next will be njoo "tunye" na numbi..Mods are ultra legend.mod unayecheza na heading ya huu uzi unapata tabu sana,acha hizo bana mwisho wa siku naona unaelekea kuunganisha huu uzi. Heading:
1.niliwamiss tabsamu na numby
2.njoo tutabasamu pamoja
3.njoo tucheke pamoja
Cant wait next heading
Hahahaaa. Duuh.
Hahahahahaha, missed you!Hawa jamaa kila kitu wanajua,iwe mpira hadi maisha ya watu ya chumbani kabisa
Hahahahahaha, missed you!
Mi nasubiri tathmini ya michuano ya kombe la dunia.