Sawa,

Miss Dream Queen kama wewe ni Raia wa Tanzania wa kawaida basi vitu unavyomiliki vingi umevinunua kwa Machinga. Hiyo ni kwa 90% au zaidi

Tutarajie nini kuhusu Usafi wa Mazingira?

Ni kweli kuwa wakihamishwa hizo bidhaa ulizosema wanapewa na Matajiri wataacha kuwa wanapewa?

Kama wataacha kuwa wanapewa na hao Matajiri(Kwa kuwa hawatakuwa wanauza sana), kuna Mpango Upi mwingine wa kuyakwamua Maisha Yao hasa wanaotegemewa?

Barabara Mpya au inaporekebishwa huwa kuna Magari yanaongezeka ya watu wanaopenda kuendesha kwenye njia mpya basi tu kwa kuwa ni njia mpya. Hawa huwa ni kama ziada ya idadi halisi ya Magari yanayopita siku zote.

Na barabara fupi Nzuri au Mbovu humfaa sana Mtembea kwa Miguu kwa hiyo huyu yeye Jengeni Barabara mpya lakini sio rahisi yeye kuitumia kwa ajili ya Mambo yake.

Huwezi kusema Mteja wa Saa ya TSh 3500/= inayouzwa na Machinga, atatoka Manzese aende hadi Mbweni kuliko na soko la Machinga Mfano, ili akainunue ile saa vinginevyo tu atasogea Sinza dukani atanunua kwa TSh 5000, 8000 au 12000

Huoni kama Machinga Biashara Yao ni kama inakufa?
Bashara ya umachinga Haipo hata kwenye mitaala ya elimu imejizukia tu bila utaratibu, biashara gani!
Mtu anamaliza shule badala ya kubuni biashara anaenda kushika nyembe,dawa za mswaki,sabunni
Tuache ukilaza jama, shida zako zisihalalishe uvunjifu wa sheria.
Fuata misingi ya kufanya biashara.
Serikali ikidhibiti wimbi la umachinga hata ubunifu na uzalishaji utaongezeka.
Umachunga ni matumizi madogo ya ya akili, watu wnataka mteremko hawataki kuumia.
JPM mwenyewe alitumbua vyeti feki na waliojengga mabarabarani machinga wao nani ?
 
Sheria ipi iliyokuwepo na wameivunja Machinga?
 
Wewe si unasubiri kuliwa tigo upewe hela za kutanua mjini, huwezi kuelewa hustles za wanaume wanaopambana kutafuta maisha kwa jasho.

Endelea kupiga picha makalio uzirushe instagram watu wajilie vinyesi.

Wacha kazi iendelee...
Hili dongo limekaa kibabe sana yani 😂😂😂 kwahio aendelee kuuza mtambo wa nnya
 
Mkuu hatukatai watafute riziki lakini kwa utaratibu sio kila sehemu mtu anajiwekea meza, kinachokera zaidi kuna wamachinga mtaa wa kongo wamepangishwa barabara yaani watu wamegawana barabara wamepangisha watu bei inaanzia elfu3 kwa siku hadi elfu10 kwa siku, pili wale wanaziba maduka ya watu, tatu watembea kwa miguu ndio balaa hawana pa kupita
We unazungumzia kupangishwa barabara? Kuna maza alinunua meza 2M barabara hio hio inayoanzia uchochoro wa congo mpaka Big Bon! Eneo la kuuzia visendo vya akina dada vile nikasema dah kweli Kariakoo 😅
 
OK... Nanunua kesi...
kwa hiyo mimi nalipa kodI ya fremu na kodi ya TRA ...
Halafu kenge aje kupanga nyanya au mitumba mbele ya duka langu sababu yule mfu alikuwa anataka kura zao...
Napoteza wateja wangu sababu Pumbavu mporimpori kaacha kulima vijijini na kuja mjini kumshobokea dikteta....
Wakafe mbele, tunaanza upya na yule jinamizi hata kaa atokee tena katika nchi yangu...
Natafuta kupigwa ban... easy...
Hahahhahaha machinga wasibugudhiwe
 
Tunachekelea tukienda nchi za wenzetu kwamba zinapendeza, mandhari nzuri, mpangilio wa shughuli za kiuchumi ziko vizuri, haikuwa rahisi kuwa hivyo, ni matokea ya usimamizi mzuri na mkali wa serikazi zao, cha msingi mtu asionewe, tusitafute huruma kwa kuvunja utaratibu uliowekwa.

Naimani serikali imewaandalia maeneo sahihi ya kufanya shughuli zao. Na sisi ambao niwateja wao tutawafuata huko waliko.
Wenzetu walizingatia mazingira ya miji ila pia walizingatia na mazingira ya vipato vya hao wananchi!

Machinga wengi ni graduates kwa sasa, unapomfurumusha eneo analopatia chochote kitu na kumuajiri huwezi unategemea familia yake ya mama na katoto kake pekee wakale wapi?

Wenzetu wanaweka mazingira ila bongo mazingira ni kutupwa Vikindu huko! Ukiangalia wanunuzi wenye access na kariakoo hawawezi kufuata vitu vikindu huko eti kisa bei ya nafuu!
 
OK... Nanunua kesi...
kwa hiyo mimi nalipa kodI ya fremu na kodi ya TRA ...
Halafu kenge aje kupanga nyanya au mitumba mbele ya duka langu sababu yule mfu alikuwa anataka kura zao...
Napoteza wateja wangu sababu Pumbavu mporimpori kaacha kulima vijijini na kuja mjini kumshobokea dikteta....
Wakafe mbele, tunaanza upya na yule jinamizi hata kaa atokee tena katika nchi yangu...
Natafuta kupigwa ban... easy...

Utakuwa na frustration za maisha wewe si bure.Yani unakaa nyuma ya key board povu linakutoka si ajabu hadi mijasho kwapani kwa hasira kufokea mtu usiyemfahamu
 
Wenzetu walizingatia mazingira ya miji ila pia walizingatia na mazingira ya vipato vya hao wananchi!

Machinga wengi ni graduates kwa sasa, unapomfurumusha eneo analopatia chochote kitu na kumuajiri huwezi unategemea familia yake ya mama na katoto kake pekee wakale wapi?

Wenzetu wanaweka mazingira ila bongo mazingira ni kutupwa Vikindu huko! Ukiangalia wanunuzi wenye access na kariakoo hawawezi kufuata vitu vikindu huko eti kisa bei ya nafuu!
Wenzako gani we boya????
 
Back
Top Bottom