Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
Hizo si ni roughly SQM 4501m = 3.3 kwa 84 ÷ 3.3 = 25M na 62 ft ÷ 3.3 = 18.7 m
Kweli kwenye kiwanja cha 25m x 18 m unaweza kupata viwanja vitatu? Tuwe wa kweli.
Haya kama umetumia feet, kiwanja chako ni 84ft x 62 ft = 5208 sq ft.84 * 62 hiki kipimo cha miguu (nimeandika feet) na ndio kipimo kilichozoeleka.. na huwa sio hicho unachopigia hesabu wewe... Maana yake hapo ni miguu 84 upana kwa miguu 62...
Karibu kwa mazungumzoMkuu mbona bei ipo juu sana.
eneo limepimwa na lina hati miliki ....limepimwa kwa Miguu!Eneo Lilipo: Kigamboni Kibada
Aina ya eneo: Eneo la makazi
Ukubwa wa kiwanja: 84 x 62 (miguu) Hapa unapata viwanja vya (28 * 21) VITATU
Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu
Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo
Nyaraka: Full Documents Kina hatimiliki.
BEI : Milioni 12 (FIXED)
0782 780 980 AU 0677 81 82 83
View attachment 1210356
View attachment 1210358View attachment 1210359
Haya kama umetumia feet, kiwanja chako ni 84ft x 62 ft = 5208 sq ft.
Na 1sq ft = 0.093 sq m, kwa hyo 5208 sq ft unapata appr. 480 sq m sasa hapa useme utatoa viwanja vitatu vtakua vdogo snaa
Mguu mmoja hauwezi kuwa mita moja. Madalali wadanganyifu sana!Jiongeze, mguu anakadiria mita 1 kwa mguu moja kwa hyo wastani unaweza pata mita 70++ kwa 50+++ na si futi zako hizo
Mguu mmoja hauwezi kuwa mita moja. Madalali wadanganyifu sana!
Hatua moja ya mtu mzima ni almost metre 1 na ni common sana kwa viwanja na mashamba. Cha msingi tu asibane sana hizo hatua.Na hauwezi kuwa futi1 unless otherwise aongope.