Zogolo1550

Member
Dec 2, 2018
33
15
Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW).

TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO

Kwa mawasiliano :0758700852

DSC_0387.JPG
 
Kama una miti mikubwa, mirefu kuliko paa la nyumba yako ni vema ukaiondoa ili kuepuka maafa ya kuangukiwa nayo.
Natoa huduma hiyo kwa kutumia chainsaw pia naweza kukuchania na mbao! Napatikana mbezi Louis
0758700852
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Zogolo chainsaw services tunatoa huduma ya kukata na kupunguza miti hususani ili karibu na makazi kwa kutumia mashine!
Tunapatikana mbezi Luis!
0694340728/0758700852
 
Nawasihi sana kukata miti iliyo karibu na nyumba au umeme/ nguzo kwa kipindi hiki cha mvua iliyoambata na upepo.

Leo maeneo mbalimbali Dar es Salaam miti imeleta maafa makubwa kwa mfano nyumba mbili zimeangukiwa na miti maeneo ya Mbezi Makabe na maeneo ya Sinza mti umeangukia gari iliyokuwa imeegeshwa.

Miti hatari zaidi ni aina ya galveria kwani ni rahisi kun'goka inapopigwa upepo.

Nimejua hayo kwasababu Mimi ni mtaalamu wa kukata miti kwa kutumia machine (chainsaw) kwahiyo unajua jinsi niliyohangaika leo kuokoa maisha ya watu!
 
Nawasihi sana kukata miti iliyo karibu na nyumba au umeme/ nguzo kwa kipindi hiki cha mvua iliyoambata na upepo...
Wewe mjanja sana naona unatafuta tenda ya kukata miti ili upate mbao, sababu uliyotoa haina mvuto kwani miti huanguka na kama unaona inao basi bora tuondoe waya zote za umeme kwani nazo hukatika wakati wa mvua na kuleta hatari kuliko miti.
 
Shida yangu sio mbao wala kujitangaza kupata tenda kwa sababu nilichokisema ni kweli kimetokea sehemu mbalimbali kwahiyo kupata tenda si lengo kuu.
 
Asanteh kwa kunirekebisha Mimi si mtaalamu sana wa botanical science especially taxonomy of higher plants!! Bila shaka kwa wale ambao wanaona najitangaza watapata ushahidi wa kutosha!
Inaitwa Gravelia bwana

Halafu hata kwetu muembe umedondoka ukakata waya wa tanesco
 
Shida yangu sio mbao wala kujitangaza kupata tenda kwa sababu nilichokisema ni kweli kimetokea sehemu mbalimbali kwahiyo kupata tenda si lengo kuu.
Hayo matukio mawili hayana mvuto kwani zipo nyumba na magari vilivyowahi kuangukiwa huku kukiwa hakuna mvua. Miti yote mijini ipo karibu na nyumba na kando ya barabara hivyo tukiikata hatutukuwa na miti mijini, pia watu wenye chainsaw huwa ndio wanaoongoza kwa uharibifu na kupelekea serikali kuzifuatilia sana.
 
Unajitahidi kuficha ukweli lakini hujui nini unaongea, tafuta majibu ya haya maswali .je ni kweli serikali hairuhusu hairuhusu matumizi ya chainsaw?, je nini kilitokea baada ya hizo nyumba,umeme na gar kuangukiwa na miti?
 
Kama una miti mikubwa, mirefu kuliko paa la nyumba yako ni vema ukaiondoa ili kuepuka maafa ya kuangukiwa nayo.

Natoa huduma hiyo kwa kutumia chainsaw Napatikana Dar es Salaam

0758700852
 
Dunia inahamasisha upandaji miti wewe unahamisisha tuiikate?!

Kwanini hiyo chain-saw yako usiiende nayo kwa wakulima wa miti uwapatie hiyo huduma!.
 
Back
Top Bottom