IMG_20200825_191239.jpg
na sniper wao alikuwa amejiandaa kumtulinga Lisu.
 
ila ccm wana hila sana,wamehakikisha wanaleta tension kubwa kwa TL huku ngaz ya chini wanafyeka wabunge na madiwani,walijua tu watu wata concentrate Dodoma..huk walala mlango wazi😞
 
Tukiacha kuchota maji kisimani kwa kusubiria mvua, tutakufa Kiu.

Tujiaminishe na tujiridhishe kwanza.
 
Yani nipo mtandaoni kama nafatia series ya money hiyest Lecasa de papel
Nikusubiri kuona hatimaa ya lisu tu daah
SIASA za bongo sasa zinafika mahala pake
Nahaya yanaweza kuwa mageni ila ndio tamu za UCHAGUZI hakuna mtu anapata madaraka kuongoza watu kirahisi Hilo ndio ujue na ukikata tamaa ndio umeji disqualifiy mwenyewe
VIVATZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarehe 25 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania

Urais, Fomu kuhakikiwa na Kutangazwa Kuteuliwa , kisha kusubiria kama kuna pingamizi

Baada ya fomu kuhakikiwa na kutangazwa kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kila kitu kipo sawa kuna zoezi muhimu la kubandika majina ili umma kuwafahamu.


Muda wa pingamizi ni kuanzi saa 10:00 jioni ya tarehe 25 Agosti 2020 hadi saa 10:00 jioni siku inayofuata yaani tarehe 26 Agosti 2020.

Zoezi hilo muhimu ni hatua inayofuata ni kusikia kama wagombea wamewekewa pingamizi na wale wadau wanaotambulika na Tume ya Uchaguzi, kisha wagombea wateuliwa kupata nafasi ya kujibu.

Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Pingamizi ngazi ya Urais linatakiwa kuletwa kwa maandishi katika fomu namba 9A na pingamizi hilo liwakilishwe ndani ya muda muafaka unaoanzia muda uliotajwa hapo juu na sababu za pingamizi litajwe.

Hivyo waliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ngazi ya Urais kama wateule baada ya kuhakiki fomu na nyaraka wote wanaweza kuwekewa pingamizi muda wowote kuanzia muda wa saa 10:00 jioni ya leo tarehe 25 Agosti 2020 na mwisho wa kuwakilisha pingamizi ni kesho saa 10:00 jioni tarehe 26 Agosti 2020.
 
Duh nimefurahi balaa

Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.

Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu...

Kashindikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.
Endelea kuwadanganya wapuuzi wenzie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom