Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,502
6,403
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu

Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.

Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena

Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania

Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote

Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania

Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.

Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk

Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
 
Huyo tajiri wako kumfananisha na Lissu ni kujikosea Adabu wewe mwenyewe, mnachokiweza ni kutayarisha mabomu na wachawi lakini under free and fair election huyo mama hata kitongoji hapati, yaani akina Tiputipu na midevu yao wanaingia Kwa Kasi namna hii ndo urais wa mezani je akipewa Kwa kura? Kama ni urais wa kizimkazi sawa
 
upinzani mnaajenda gani kumshinda samia?

amewapa uhuru mnaandamana, je agenda yenu kuu ni maandamano?
 
Hakuna, nasema hakuna wenye maslahi yao katika Taifa hili na wale wa Kimataifa wakaachia Laigwaanan Mtundu Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri hii. Piga Ua.

CHADEMA iondoe ndoto ya kupata dola kwa kumnadi Kiongozi kwa kuomba kura za Huruma, sera za matusi, kusimanga, kutengana, kuzodoa- visasi, vinyongo na kulipiza Visasi kwa kumsimamisha Tundu Lissu.

Nina uhakika hata mdani ya CHADEMA wanaona pamoja na mvuto anawapatia, he is a Liability.

Sasa najua mtakuja na "ikiwepo tume huru na katiba mpya, atashinda!"

Nawaambieni mapema, Bullshit!
Hamuwezi kutuuzia a dysfuctional CHADEMA leadership and 0 policy model, tukategemea kuvushwa kwenda kwenye Nchi enye matamanio ya wengi.

Hatahivyo, Rais SSH vs Dictator Tundu Lissu, CHADEMA wategemee kusubiri mpaka 2050!

Ni Rais SSH atakayeshinda. Punto.
 
igweeeeeee

Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.

Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu

Kwa sasa CCM wako wazi kabisa wanamsimamisha mama, lakini kwa upande wa CHADEMA sioni wakimsimamisha mgombea mwingine mbali na Lissu hasa ukizingatia matokeo ya uchaguzi uliopita 2020.

Naona Samia Suluhu akijapambanua zaidi na 4R ambazo ndiyo naona zinaenda kuumaliza uchaguzi wa 2025 asubuhi tu mama anachukua kiti tena

Lakini pia Mama ananafasi kubwa kwani amefanya makubwa kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa watanzania

Uchaguzi wa 2025 utaamuliwa na timu ya ushindi itakayotengenezwa na chama husika, hapa naiona timu ya CCM imekamilika mapema tu mbali sana na CHADEMA kwani kwa sasa Makonda pekee anaitikisa Chadema yote

Tundu Lissu bado watanzania hawajamuelewa yaani hata ukimuuliza mwanachadema lialia hawezi kujibu kwamba Lissu anasimamia misingi gani na anakitu gani kuwafanyia watanzania

Viongozi wa nchi hujipambanua kwa sera zao na slogani ambazo ndio hubeba dhana ya mafanikio yao.

Timu ya ushindi haiwezi kujengwa na mtu kama mdude chadema, Sugu, lema, akina Mnyika nk

Uchaguzi mkuu 2025 kwa ngazi ya urais umetamatika mapema mno
Umetumwa na mama !.
 
Ccm wakimsimamisha huyo mama chadema wanachukua nchi mapema hata wakiiba kura bado mama hatoboi

bunge dhaifu
Mahakama inatesa watanzania
Umeme shida
Mishahara hamna
Sukar hakuna

Kazidiwa nguvu na mawaziri wake mama hana kauli

Vitu vidogo vimeshinda hivyo vinamfanya kuwa dhaifu sana hana sifa ya uongozi.
 
1. Niambie Samia anasimamia kitu gani
2. Samia ameweza kitu gani kwa usahihi?

3. Ameanzisha nini na akafanikiwa.
 
Chadema inaagenda gani kutatua changamoto hizi?
Inawatu gani kusimamia mipango yao ambayo haijulikani popote

Je maandamano yatatatua shida hizo?
 
1. Niambie Samia anasimamia kitu gani
2. Samia ameweza kitu gani kwa usahihi?

3. Ameanzisha nini na akafanikiwa.
Maridhiano, uvumilivu, mabadiliko na ujenzi mpya wa nchi

Miradi mingi kila sekta mikoa yote kunamabadilko na maendeleo

Ninyi Chadema mmeomba maandamano mmepewa, wananchi wameomba maendeleo mama kawapatia
 
Ccm wakimsimamisha huyo mama chadema wanachukua nchi mapema hata wakiiba kura bado mama hatoboi

bunge dhaifu
Mahakama inatesa watanzania
Umeme shida
Mishahara hamna
Sukar hakuna

Kazidiwa nguvu na mawaziri wake mama hana kauli

Vitu vidogo vimeshinda hivyo vinamfanya kuwa dhaifu sana hana sifa ya uongozi.
wazi
 
1. Niambie Samia anasimamia kitu gani
2. Samia ameweza kitu gani kwa usahihi?

3. Ameanzisha nini na akafanikiwa.
Kuwaondoa Wamasai Ngorongoro na kisha kuwaongezea Wajomba zake kipande cha ardhi. Bila kusahau Badari yetu aliyowauzia hao hao Wajomba.
 
Back
Top Bottom