Mnachezea tu chanjo za watu, zili milion moko mmeshindwa kuzimaliza halafu bado mnalia lia chanjo hazitoshiMsemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja
Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja
Wanataka kupiga pesa nyingineMnachezea tu chanjo za watu, zili milion moko mmeshindwa kuzimaliza halafu bado mnalia lia chanjo hazitoshi
Hapo lengo ni wakubwa wapige pesaMsaada huwezi kukataa lakini hii chanjo kinga yake ipo chini sana na sehemu nyingi haikubaliki hata huko meka hii haitakubalika. Yaani mimi sita shauri mtu upige hii badala ya Johnson
Hii taifa kama vile halina uongozi kabisaMachanjo ya China sio mazuri hayafanyi kazi, lakini kwakuwa ni bure basi na sisi ni jalala tupokee
Hapa nighalaKwanini serikali inaokoteza kila aina ya chanjo kutoka nje?