beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja
Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya Watanzania waliopokea chanjo hadi sasa imefikia 400,000. Ametoa rai kwa watu kuchanja akisema sehemu kubwa ya wagonjwa wa Corona wanaopumulia mashine Hospitalini hawakuchanja