Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,768
- 20,158
Huyu jamaa ni mnafiki
Huyu jamaa ni mnafiki
Kwa hotuba hii makonda sahau cheo
Bashite DaudiWho is Makonda by the way?
Na vistory vyenu vya vijiweni. MfyuuuuuuuuuuMakonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin
Makonda alimpa ABC gan? Mnadanganyana sana nyie sio umbea ulimpandisha juu😁😁Makonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha Makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin
Ha haaaa Mzee si inasemekana sku ya Kwanza pale Ikulu mzee alijikuta kalala nje , ndo makonda akampa chocho za pale ....Mzee ikabd ampe ofisi 🤣😀🤣😀🤣😀🤣 za kwenye kahawa hzi lakn mzeeMakonda alimpa ABC gan? Mnadanganyana sana nyie sio umbea ulimpandisha juu😁😁
porojo kaka Makonda anaijua ikulu wap?Ha haaaa Mzee si inasemekana sku ya Kwanza pale Ikulu mzee alijikuta kalala nje , ndo makonda akampa chocho za pale ....Mzee ikabd ampe ofisi 🤣😀🤣😀🤣😀🤣 za kwenye kahawa hzi lakn mzee
Makonda alikuwa na makando Kando mengi Sana, sema Mzee hakutaka kumuondoa sababu ingekuwa noma Sana kitaa , ukiangalia dogo ndo alimkaribisha Ikulu mzee na kumpa ABC za wazee....kitendo cha Makonda kujichanganya kwenda kugombea na kuacha ofisi kilimpa ahueni Sana Mzee....Ila hawez kumwacha hv hv , dogo kamtoa tongo tongo jiwe hapa mjin
Kwa hotuba hii Makonda sahau cheo
Makavu liveKUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya unaibu waziri ktk awamu ya kwanza ya Kikwete na Mkuu wa Mkoa katika awamu ya pili baada ya kukosa ubunge mwaka 2010.
Rais Magufuli anamlaumu Mwananzila kwa kuwa baada ya kukosa ubunge 2010 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa lakini 2015 kwa tamaa zake alirudi tena jimboni kwake kuomba ubunge ilihali ana cheo kikubwa serikalini. Alifika mbali kwa kusema Mwananzila hafai hata kuwa Katibu Tarafa na ndiyo maana kampoteza kabisa.
Je, kuna funzo kwa wateule wa Rais Magufuli?
View attachment 1508189
View attachment 1508190