Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hawa vijana wawili walikuwa wanaitumikia Chadema pale Ufipa na walipoukosa ubunge 2015 baadae wakatimkia CCM kusaka fursa.
Mungu si athumani wakapata teuzi nono tu.

Hawakutosheka wakarudi kule kule walikoangukia pua 2015 na kuchezea kichapo mbele ya miamba ile ile ya Maselle na Husna.

Ama kwa hakika kunguru hafugiki.

Maendeleo hayana vyama!
Kafulila kaitumikia CHADEMA 2015? mods futeni huu uzi huyu ni mpotoshaji DAVID KAFULILA alifukuzwa CHADEMA na alihamia NCCR MAGEUZI alikua mbunge 2010-2015
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hawa vijana wawili walikuwa wanaitumikia Chadema pale Ufipa na walipoukosa ubunge 2015 baadae wakatimkia CCM kusaka fursa.
Mungu si athumani wakapata teuzi nono tu.

Hawakutosheka wakarudi kule kule walikoangukia pua 2015 na kuchezea kichapo mbele ya miamba ile ile ya Maselle na Husna.

Ama kwa hakika kunguru hafugiki.

Maendeleo hayana vyama!
Tena hasa huyo karai( Katambi) anatakiwa asugue Gaga hasa mtaani mpaka akili imrudie. Aende akafungue ofisi ya uwakili hata Tinde au Maganzo aanze maisha huko.
 
Zote hizo ni hasira ila Bashite bungeni atabaki kupasikia.
CCM wamenifurahisha Sana katika hili

Lkn huwezi jua anaweza kupitia dirisha dogo, utajuaje,Acha lifungwe kabisa pazia hili la usajili ili tushangilie zaidi

Ila PhD zenu hizo za uwizi hatuzitaki kabisa
 
Kwa Nini wafe mkuu, unamaanisha wao wataishi kwa nafasi za uteuzi au ajira. Wanaweza wakajiajiri siyo Lazima waajiriwe
Hayo huwawanayasema wakiwa kwenye viyoyozi vya uteuzi! sasa nao wajiajiri iwe mfano kwetu pia
 
Kuna watu walihamia na kusema wapo tayari kufagia ofisi. Wengine wakasema wanahamia ila si kusaka vyeo bali " kumsaidia Rais'' katika kazi zake. Ghafla wakakimbilia kutia nia. Hawa ndio wa kukata mikia na kuwapangia kazi za kufagia ofisi
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hawa vijana wawili walikuwa wanaitumikia Chadema pale Ufipa na walipoukosa ubunge 2015 baadae wakatimkia CCM kusaka fursa.
Mungu si athumani wakapata teuzi nono tu.

Hawakutosheka wakarudi kule kule walikoangukia pua 2015 na kuchezea kichapo mbele ya miamba ile ile ya Maselle na Husna.

Ama kwa hakika kunguru hafugiki.

Maendeleo hayana vyama!
Nafasi za uteuzi zimejaa,watarudi wapi sasa?
 
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri.

Hawa vijana wawili walikuwa wanaitumikia Chadema pale Ufipa na walipoukosa ubunge 2015 baadae wakatimkia CCM kusaka fursa.
Mungu si athumani wakapata teuzi nono tu.

Hawakutosheka wakarudi kule kule walikoangukia pua 2015 na kuchezea kichapo mbele ya miamba ile ile ya Maselle na Husna.

Ama kwa hakika kunguru hafugiki.

Maendeleo hayana vyama!
Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote
 
Back
Top Bottom