kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,751
- 595
Au baada ya wale vibaraka wa meko kufukuzwa.Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
Source ya taaarifa iko wapi mkuu?Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
Ubambikaji umepungua snAu baada ya wale vibaraka wa meko kufukuzwa
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Polisi Kurasini.Source ya taaarifa iko wapi mkuu?
Kwakweli Samia suluhu amejifunza mambo mengi kupitia mapungufu ya mtangulizi wake. Hapendi kuendeleza mabaya. Tutarajie hata sheria kandamizi hapo mbeleni zitakuja kupelekwa Bungeni kwa marekebishoShujaa hapo angewaambia police hao mahabusu wapigeni mateke.
Umemabiwa ni kesi zilizokuwa za kubambikizwaWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Hoja si kuongea nao, hiyo ni hisani. Swala ni kufutwa kwa sheria zilizotumika (kama zipo), au kuwachukulia hatua waliotumia madaraka yao vibaya.Leo katika hafla ya juwaapisha majaji wapya Mh Rais Samia Suluhu Hasani amewataka jeshi la polisi, ofisi ya mwendesha mashtaka na Mahakama kuhakikisha wanaharakisha michakato ya kesi mbali mbali ili kutoa haki wa watuhumiwa badala ya kuchelewesha haki za watu.
Hili linakuja ikiwa ni kiasi cha mwezi mmoja tu ambapo Tito Magoti afisa ktk Shirika ka haki za binadamu HRLC alitoa siri na kuelezea kadhia wanazopata watuhumiwa wa kesi mbali mbali huku barua hiyo ikielekezwa kwa Mh Rais.View attachment 1789532mView attachment 1789532
Nyie subirini mzoga wenu ufufuke,,gwajima ndio anaelekea uko kufufuaWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
ni kweli ulichosema na huu ni mwanzo mzuri.Hoja si kuongea nao, hiyo ni hisani. Swala ni kufutwa kwa sheria zilizotumika (kama zipo), au kuwachukulia hatua waliotumia madaraka yao vibaya.
Muda ni mwalimu mzuri ila haujawahi kuwa mwalimu kwa mwafrika.Nyie subirini mzoga wenu ufufuke,,gwajima ndio anaelekea uko kufufua
Huoni hata leo IGP kajikakamua kusema mapato ya usalama barabarani yamepungua kwa vile watu hawafanyi makosa tena. Akidhani ni ujiko kukusanya fine za barabarani. Mh. Rais kamzodoa kwamba wasitegemee fine kama chanzo cha mapato. Bali watoe elimu watu wasifanye makosa.Kwakweli Samia suluhu amejifunza mambo mengi kupitia mapungufu ya mtangulizi wake. Hapendi kuendeleza mabaya. Tutarajie hata sheria kandamizi hapo mbeleni zitakuja kupelekwa Bungeni kwa marekebisho
Nchi ikikosa Rais mzuri mifumo yote inakuwa ya kishetani. Akina Igp siro leo wanafanya kazi kwa uhuru kwa mujibu wa sheria za nchi. Wametukosea sana kwa kushiriki maovu na vitendo vibaya wakati wa Ibilisi Jiwe.Huoni hata leo IGP kajikakamua kusema mapato ya usalama barabarani yamepungua kwa vile watu hawafanyi makosa tena. Akidhani ni ujiko kukusanya fine za barabarani. Mh. Rais kamzodoa kwamba wasitegemee fine kama chanzo cha mapato. Bali watoe elimu watu wasifanye makosa.