Rais Samia Hassan anatekeleza kampeni ya Tundu Lissu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,398
2,000
Wanabodi, ni dhahiri Mpaka sasa Mama Samia Suluhu Hassan anatekeleza maneno aliyohubiri Tundu lissu wakati wa kampeni mwaka 2020,Yalikuwa maneno matatu tu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

CCM walipozidiwa hoja na Tundu Lissu wakaamua kuzima intaneti, wakatunga hali ya hewa ni mbaya kwa helikopta kutua.

Uhuru, Ahadi ya Lissu ilikuwa Maendeleo ya vitu bila uhuru ni sawa na bure, Lisu aliahidi kufuta kesi zisizo na ushahidi mfano kesi za Mashehe wa uhamsho, Kesi za uchochezi za kusema na kujadili mamlaka ya Urais. Mama Samia alishafuta kesi za Mashehe wa uhamsho na baadhi za akina Papa Msofe za utakatishaji pesa.

Maendeleo ya watu na sio Maendeleo ya vitu, Lissu alihubiri watu lazima wawe na maisha yenye unafuu kuwalipa penseni na mafao yao, Kuongeza mishahara yao, Jeshi la polisi wakati wa kampeni lissu alisisitiza wana hali ngumu hawajapandishwa vyeo wala mishahara kwa miaka mitano, Mama Samia ameanza kuwapandisha vyeo Polisi na Pension kidogo watu wameanza kulipwa.

Haki, Tundu lissu alihubiri haki wakati wa kampeni 2020. Aliwasema watawala wanaokaa juu ya katiba na kutumia Madaraka kunyanyasa watu, Leo hii Mama Samia kidogo ameanza kutekeleza, Ole Sabaya mtu mwizi na tapeli amemuweka pembeni kupisha Uchunguzi wa Takukuru.

Wakati wa kampeni mwaka 2020 nilisisitiza CCM hatuna hoja za kumjibu Tundu Lissu, Tundu lissu aliizidi ccm kwa kila kitu mwaka jana uwezo wa kujenga hoja, uwezo wa kushawishi na Smartness kichwani, Matokeo yake ikatumika nguvu kupora uchaguzi

Lakini sasa, CCM ile ile inatekeleza ahadi na Sera za Tundu lissu, CCM ilikuwa inahubiri kupora Fedha kujenga miradi lakini Leo wanasubiri ahadi zenye mashiko za Tundu lissu uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

Ni vyema ccm wakaelewa upinzani ni imani na itikadi, Upendo haulazimishwi. Miaka mitano ilitumika kuwalazimisha watu kuipenda ccm kinguvu kwa biashara ya manunuzi na ni kweli baadhi walinunulika kutajirisha matumbo yao lakini sasa ni dhahiri Chadema inasonga mbele kwenye operesheni zake za Chadema Kidijitali zaidi.

CCM inatumia mbinu za kizamani sana, Mbinu za kisasa mpinzani wako sio adui bali anakusaidia kukujenga, Kwa sasa Chadema wapo Kidijitali na wanahubiria wanachama wao kuhusu teknolojia, CCM kimya.
 
mussy p

Member
Jan 11, 2013
69
125
Mkuu GUSSIE hongera yako, kama unamaanisha uliyoyaandika HONGERA SANA, Mi binafsi nilikua nimeku ignore. Kuna siku nikaona uzi ukiomba radhi nikasemehe. Umenipa fundisho kumbe mtu yeyote anaweza kubadilika. Hongera tena Mkuu.
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,125
2,000
Ccm itajiendesha kidgital akati wanachama wake kusoma ama kuandika hawajui ,udigital nikazi unavoambiwa chadema chama cha wasomi hua inamanisha
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
15,687
2,000
Wanabodi, ni dhahiri Mpaka sasa Mama Samia Suluhu Hassan anatekeleza maneno aliyohubiri Tundu lissu wakati wa kampeni mwaka 2020,Yalikuwa maneno matatu tu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

CCM walipozidiwa hoja na Tundu Lissu wakaamua kuzima intaneti, wakatunga hali ya hewa ni mbaya kwa helikopta kutua.

Uhuru, Ahadi ya Lissu ilikuwa Maendeleo ya vitu bila uhuru ni sawa na bure, Lisu aliahidi kufuta kesi zisizo na ushahidi mfano kesi za Mashehe wa uhamsho, Kesi za uchochezi za kusema na kujadili mamlaka ya Urais. Mama Samia alishafuta kesi za Mashehe wa uhamsho na baadhi za akina Papa Msofe za utakatishaji pesa.

Maendeleo ya watu na sio Maendeleo ya vitu, Lissu alihubiri watu lazima wawe na maisha yenye unafuu kuwalipa penseni na mafao yao, Kuongeza mishahara yao, Jeshi la polisi wakati wa kampeni lissu alisisitiza wana hali ngumu hawajapandishwa vyeo wala mishahara kwa miaka mitano, Mama Samia ameanza kuwapandisha vyeo Polisi na Pension kidogo watu wameanza kulipwa.

Haki, Tundu lissu alihubiri haki wakati wa kampeni 2020. Aliwasema watawala wanaokaa juu ya katiba na kutumia Madaraka kunyanyasa watu, Leo hii Mama Samia kidogo ameanza kutekeleza, Ole Sabaya mtu mwizi na tapeli amemuweka pembeni kupisha Uchunguzi wa Takukuru.

Wakati wa kampeni mwaka 2020 nilisisitiza CCM hatuna hoja za kumjibu Tundu Lissu, Tundu lissu aliizidi ccm kwa kila kitu mwaka jana uwezo wa kujenga hoja, uwezo wa kushawishi na Smartness kichwani, Matokeo yake ikatumika nguvu kupora uchaguzi

Lakini sasa, CCM ile ile inatekeleza ahadi na Sera za Tundu lissu, CCM ilikuwa inahubiri kupora Fedha kujenga miradi lakini Leo wanasubiri ahadi zenye mashiko za Tundu lissu uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

Ni vyema ccm wakaelewa upinzani ni imani na itikadi, Upendo haulazimishwi. Miaka mitano ilitumika kuwalazimisha watu kuipenda ccm kinguvu kwa biashara ya manunuzi na ni kweli baadhi walinunulika kutajirisha matumbo yao lakini sasa ni dhahiri Chadema inasonga mbele kwenye operesheni zake za Chadema Kidijitali zaidi.

CCM inatumia mbinu za kizamani sana, Mbinu za kisasa mpinzani wako sio adui bali anakusaidia kukujenga, Kwa sasa Chadema wapo Kidijitali na wanahubiria wanachama wao kuhusu teknolojia, CCM kimya.
Hata mpango wa maendeleo wa miaka miaka mitano uliowasilishwa bungeni hivi karibuni wameweka kauli mbiu maendeleo ya watu.

Na kwenye bajeti kuna hiyo kauli.

CCM hawana sera tena wamebakiza ahadi za barabara na mifereji ya maji machafu.

Jamaa alipigwa hadi kwao akaamua kukodi watu wa kumpiga mawe Lissu.
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
948
1,000
Wanabodi, ni dhahiri Mpaka sasa Mama Samia Suluhu Hassan anatekeleza maneno aliyohubiri Tundu lissu wakati wa kampeni mwaka 2020,Yalikuwa maneno matatu tu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

CCM walipozidiwa hoja na Tundu Lissu wakaamua kuzima intaneti, wakatunga hali ya hewa ni mbaya kwa helikopta kutua.

Uhuru, Ahadi ya Lissu ilikuwa Maendeleo ya vitu bila uhuru ni sawa na bure, Lisu aliahidi kufuta kesi zisizo na ushahidi mfano kesi za Mashehe wa uhamsho, Kesi za uchochezi za kusema na kujadili mamlaka ya Urais. Mama Samia alishafuta kesi za Mashehe wa uhamsho na baadhi za akina Papa Msofe za utakatishaji pesa.

Maendeleo ya watu na sio Maendeleo ya vitu, Lissu alihubiri watu lazima wawe na maisha yenye unafuu kuwalipa penseni na mafao yao, Kuongeza mishahara yao, Jeshi la polisi wakati wa kampeni lissu alisisitiza wana hali ngumu hawajapandishwa vyeo wala mishahara kwa miaka mitano, Mama Samia ameanza kuwapandisha vyeo Polisi na Pension kidogo watu wameanza kulipwa.

Haki, Tundu lissu alihubiri haki wakati wa kampeni 2020. Aliwasema watawala wanaokaa juu ya katiba na kutumia Madaraka kunyanyasa watu, Leo hii Mama Samia kidogo ameanza kutekeleza, Ole Sabaya mtu mwizi na tapeli amemuweka pembeni kupisha Uchunguzi wa Takukuru.

Wakati wa kampeni mwaka 2020 nilisisitiza CCM hatuna hoja za kumjibu Tundu Lissu, Tundu lissu aliizidi ccm kwa kila kitu mwaka jana uwezo wa kujenga hoja, uwezo wa kushawishi na Smartness kichwani, Matokeo yake ikatumika nguvu kupora uchaguzi

Lakini sasa, CCM ile ile inatekeleza ahadi na Sera za Tundu lissu, CCM ilikuwa inahubiri kupora Fedha kujenga miradi lakini Leo wanasubiri ahadi zenye mashiko za Tundu lissu uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.

Ni vyema ccm wakaelewa upinzani ni imani na itikadi, Upendo haulazimishwi. Miaka mitano ilitumika kuwalazimisha watu kuipenda ccm kinguvu kwa biashara ya manunuzi na ni kweli baadhi walinunulika kutajirisha matumbo yao lakini sasa ni dhahiri Chadema inasonga mbele kwenye operesheni zake za Chadema Kidijitali zaidi.

CCM inatumia mbinu za kizamani sana, Mbinu za kisasa mpinzani wako sio adui bali anakusaidia kukujenga, Kwa sasa Chadema wapo Kidijitali na wanahubiria wanachama wao kuhusu teknolojia, CCM kimya.
CHADEMA ni sawa na takataka tu lisu naye ni kundi hilo la takataka huwezi kusema mama anaendesha nchi kwa kuwaangalia hao wapuuzi
 
Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,233
2,000
CHADEMA ni sawa na takataka tu lisu naye ni kundi hilo la takataka huwezi kusema mama anaendesha nchi kwa kuwaangalia hao wapuuzi
Brother mbona umepaniki tunazungumzia UHURU Haki na Maendeleo ya watu kama hutaki kuyaona hayo mfuate mwenzio Mwenda kuzimu.
Chadema huiwezi wew kuna wenzio walijiapiza kuwa wanao ushahidi Wa kuiangamiza Chadema kuwa ni chama cha Kigaidi na kitakufa kabla 2015. Lakini mpka sasa mnaweweseka tuu mkisikia Chadema matumbo ya kuhara kama wew linakushika.
 
kwani chadema unavyoona wewe bado ipo kweli utakuwa na matatizo kichwani wewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom