Hotuba ya rais mama samaia kesho itavunja rekodi ya kutizamwa na kusikilizwa na wananchi wengi katika historia marais wote waliopata kutokea katika taifa letu
Na wengi wa watakaoangalia na kusikiliza ni wafuasi wa Chadema wakifikiri Mama atatangaza Uchaguzi Mpya wa Madiwani, Wabunge na Rais! Ahahahahahahahaja!
 
Na wengi wa watakaoangalia na kusikiliza ni wafuasi wa Chadema wakifikiri Mama atatangaza Uchaguzi Mpya wa Madiwani, Wabunge na Rais! Ahahahahahahahaja!!!
Yes, lengo ni kuona mwelekeo wa huyo mama kama atajitenga na tabia za yule dhalimu, atajibanza ndani ya ule udhalimu. Hatutegemei kubwa la maana toka kwake, ila tunatarajia atatoa muelekeo tofauti na wa yule ibilisi.
 
Back
Top Bottom