Je, ni uchawi au saikolojia?

Je, ni uchawi au saikolojia?

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
17,296
Reaction score
40,970
Hello jamii intelligence 👋

Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni
Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an

Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema:

Usimwache mchawi kuishi
Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi

Uchawi umetajwa pia kwenye Qur’an, hasa Al-Baqarah 2:102 ambapo inazungumzia habari ya uchawi na watu kujifunza mambo hayo
Huu nao ni ushahidi Qur'an inatambua habari za uchawi

kwa mantiki hii dhana ya uchawi ni ya kale sana

Huku Africa watu bado wamekumbatia hii imani sana, sijui huko Ulaya ikoje

Utasikia mtu anasema
👇
Mtoto huyu karogwa, sio akili zake.

Hapa tunaona uchawi unatajwa kama kitu ambacho kinaweza kubadilisha hali ya mtu
Alikuwa mzima, ghafla akawa kichaa au mtu asie sawa kama alivyokua kabla

Mtu anaumwa, unaambiwa karogwa

Sasa najiuliza...

Uchawi umetengenezwa au umeundwa kwa kufanya vitu negative tu?

Hakuna namna huo uchawi kama upo unaweza kutumika kwa njia positive?

Yaani tukaamua kutumia akili ya mtu kilaza akawa genius, kama vile inavyoaminika kwamba uchawi unaweza kumbadilisha genius kuwa kilaza?

Kuna hii pia👇

Ooh, wachawi wanapaa usiku...

Kwanini sasa kama hiyo technology ipo tusiitumie kupunguza foleni?

Huo usafiri wa kupaa uwe official sasa

Nyie wachawi wa JF(jokes)
haiwezekani kuwa hivi yaani huu uchawi ukawa na tija?

Hivi uchawi unafanya kazi kweli au ni mambo ya nadharia tu?

Niliwahi kua na matatizo ya kupata maumivu ya kicwa nakizunguzungu

Basi kuna mtu akamwambia mama:

Huyu ShesRise_1 amelogwa asifanye vizuri shuleni na si haba shuleni nilikua najitahidi kwahiyo huyo mama akamuambia mama angu huenda nimelogwa ili nirudi nyuma kimasomo🤔

Heh! 🤔

Nikastuka

Nikawaza, haya yatakuwa mambo gani?

Basi nikaanza kufanyiwa zile zinazoitwa tiba za Kisunna, visomo na mambo mengine

Ajabu ni kwamba kuanzia pale ndiyo kwanza nikaanza kupata maruerue.

Usiku naogopa kulala mwenyewe.

Naota ndoto za ajabu, heh... tafrani mtindo mmoja

Kumbe ile issue ya kuanza kuota mauza uza ni kwa sababu
ya saikolojia bana
Yaani saikolojia kwa maana baada ya kusikia nimelogwa na kupelekwa kwenye visomo

Ndiyo ubongo ukaanza kuniundia mapicha picha

So nilivyoambiwa tu vile, akili yangu na ubongo wangu vikaanza kujishughulisha na hayo mambo

Mara nione hiki...

Mara nisikie kile...

Mara nianze kujiuliza, Hivi huu ni uchawi gani?

Asieee!

Nikakaa nikasema:

Hapana, hizi mbona kama fix?

Na mimi by nature nina kaubishi fulani sipendi kumezeshwa mambo japo mwanzo wali ni win

Nikaacha kabisa huo upuuzi

Nikaamua ku-clean akili yangu

Kuanzia hapo nikiambiwa

Njoo kwenye visomo

Nawaambia

Mimi sina tatizo lolote

Na kweli, nilifanya vipimo hospitali nikambiwa kicwa kilikuwa kinauma kwa sababu sikuwa na damu ya kutosha, na ndiyo maana nilikuwa naumwa kicwa na kizunguzungu

Na hata sijui ilikuaje na mama akaingia kwenye mtego wa rafiki yake akaacha kunipeleka hospital kwanza akaanzia kwenye imani huku

Nikatumia zangu dawa nikawa fresh

Sijaumwa tena kicwa, labda cha mafua tu

Sioni mauza mauza wala nini

Naishi vizuri kabisa

Ndipo nikaja kugundua kumbe mambo mengine ni saikolojia tu

Wala hakuna cha uchawi wala nini

Na kuna hii pia ya majini kutaja uchawi bila majini sio sawa ni mtu na shoga yake

Sasa imagine eti mtu anapandisha mashetani anataka dhahabu...

Heh! Dhahabu sasa inatoka wapi yani?

Mashetani wana migodi yao huko?

Nimetoa mtazamo wangu kuhusu hii dhana ya uchawi

Je, uchawi ni nguvu halisi?

Au wakati mwingine tunaita kitu uchawi kumbe kuna sababu za kiafya, kisaikolojia au mazingira ambazo hatujazijua?

Na kama kweli uchawi una uwezo wa kumbadilisha mtu kutoka kuwa genius mpaka kilaza...

Kwanini usitumike kinyume chake?

Au kama wachawi wanaweza kupaa...

Kwanini bado tunakaa kwenye foleni?

Kama hii dhana ya uchawi haina tija kwanini tuna ing'ang'ania?

ShesRise_1 ✋️
 
Na mimi bye nature nina kaubishi fulani sipendi kumezeshwa mambo japo mwanzo wali ni win

haya mambo ya kisaikolojia yanahitaji intelijensia ya kiwango cha juu sana kiroho na kwakweli utulivu wa akili wa kutosha,

Otherwise mtu anaweza kuyumbishwa na kupotezewa wakati, mali na fedha kirahisi sana.🐒
 
Si ndiyo maana nimeleta bandiko ili tuzogoe kuhusu hili jambo
Otherwise mtu anaweza kuyumbishwa na kupotezewa wakati, mali na fedha kirahisi sana.🐒
Unaamini uchawi?
Au hua ni matatizo ya saikolojia yanayohusishwa na dhana ya uchawi
 
Kwa upande wangu naamini uchawi upo,kama ulivyochangia hapo awali hata vitabu vya dini vimeelezea hili jambo,sasa labda kwa mtu tu asiyeamini hivi vitabu ndio nae atakuja na maelezo mengine

Uchawi ni sayansi ya kuharibu ingawa kuna kutengeneza kidogo kwa kuharibu

Mfano unampomfanya mtu akupende kwa kutumia uchawi huko ni kutengeneza kwa kuharibu kwasababu mwisho wa siku,umefanya mtu apende pasina hiari yake bila hisia zake

Nadhani vile vile uchawi una masharti yake,kwa maana uchawi haupo positive zaidi bali upo negative zaidi,kwa maana upo kwa ajili ya kuharibu kwa asilimia 99.9

Na ni kweli wachawi wanapaa na kwenda sehemu yoyote just for a minite,lakini tunarudi pale wanufaika wakubwa wa hiyo tekinolojia ni wachawi wenyewe, kwa maana ili uweze kupaa basi lazima uwe kwenye hiyo taasisi yenyewe

Hapa unaona kwamba uchawi haupo kwa ajili ya kunufaisha jamii nzima bali kwa ajili ya kikundi fulani cha watu ambao ni wachawi wenyewe kwa wenyewe
 
Nimewekea rejea ya vitabu vya dini kwa kutaka kuonesha kua hii dhana ya uchawi ni ya kale

Ajabu yake huko vitabu vya dini na imani vilipoanzia hawajishughulishi na hii dhana ya uchawi kama huku africa

Kama unaweza kufanya mtu akupende na akakupenda je hakuna namna mzazi anaweza kufanya kutumia huo uchawi mtoto akashika no moja darasani
Yaani kwa faida maana umesema wanafaika wa uchawi ni wachawi wenyewe

Alieunda uchawi alikua hopeless kaunda kitu hakina manufaa zaidi ya uharibifu tu

Mimi binafsi nikitaka kujiunga na wa chawi ili nipate hiyo cheap ya usafiri nawezaje?

Kikundi cha kikuda hiki hakina faida yoyote
 
Umezungumzia swala la uchawi na majini, ni kweli kabisa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawi na majini

Wachawi na majini ni wadau muhimu sana wa kufanikiwa kwa uchawi,kwasababu mmoja ni boss na mwingine ni mtumwa

Wachawi wanawatumikia Majini,ndio maana kwenye kitabu cha qur'an Allah anasema majini wanawapoteza watu wengi sana kwenye njia ya Mwenyezi Mungu

Kwasababu ukitaka ufalme wa uchawi, jini nae ana masharti yake,ikiwemo umkane Mwenyezi Mungu,ukufuru na mambo kama hayo

Utaambiwa ua mama yako au baba yao au mwanao,kifupi nao wana ile dhana ya no free lunch

Na wachawi wanapewa uwezo na majini kwa kufanikisha mambo yao,mathalani kupaa,kuingia kwenye nyumba kichawi na mambo kadha wa kadha

Kwahiyo ni sahihi kusema huwezi kutenganisha uchawi na majini
 
Je una uwakika gani kwamba hiyo jamii haijishughulishi na uchawi? Au kwakuwa hawatuonyesho wazi wazi?

Hiyo jamii inatumia uchawi ingawa sio kwa kiwango ambacho tunakiona huku kwetu

Unaweza niuliza nimejuaje?

Kupitia sanaa zao kama sinema,tamthilia na mambo kama hayo, kazi yoyote ya sanaa huwa inatoa materials zake kwenye jamii husika

Huwa tunaona matumizi ya kupiga Ramli kwa kutumia karata au gololi au vitu vingine lakini vikiashiria dhana ya uchawi kwenye jamii yao

Siwezi kusema uchawi umeundwa na mwanadamu, bali umeumbwa na Mungu, kwa mujibu wa qur'an uchawi ulifundishwa na Malaika wawili ambo ni Haruti na Maruti kama kumbukumbu ipo sawa

Lengo ni mtihani kwa wanadamu,na kabla hawajamfundisha mtu yoyote yule,waliwaambia huu ni mtihani kwenu,yeyote atakaye taka kujifunza basi amekufuru na hata uona ufalme wa Mungu

Lakini pili Allah akasema hakika uchawi hauwezi kumdhuru mtu yoyote isipokuwa kwa idhini yake

Kwa maana Allah akiruhusu uchawi ukidhuru basi utakudhuru,na waeza jiuliza kwanini Mungu aruhusu hili? Jibu yote ni mitihani kwa waja wake
 
Umezungumzia swala la uchawi na majini, ni kweli kabisa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawi na majini

Wachawi na majini ni wadau muhimu sana wa kufanikiwa kwa uchawi,kwasababu mmoja ni boss na mwingine ni mtumwa

Wachawi wanawatumikia Majini,ndio maana kwenye kitabu cha qur'an Allah anasema majini wanawapoteza watu wengi sana kwenye njia ya Mwenyezi Mungu
Kwa kweli ukisikia neno uchawi mwenzie jinn anakua hapo pembeni
Kwasababu ukitaka ufalme wa uchawi, jini nae ana masharti yake,ikiwemo umkane Mwenyezi Mungu,ukufuru na mambo kama hayo
Kumbe hizi ndiyo process sawa homie
Utaambiwa ua mama yako au baba yao au mwanao,kifupi nao wana ile dhana ya no free lunch
Aisee baada ya hapo anachopata ni nini mtu anaefanya yote hayo
kuloga tu huku akiwa masikini wa kutupwa?

Halafu wakati wa makubaliano
Majini yanakua live ?
Na wachawi wanapewa uwezo na majini kwa kufanikisha mambo yao,mathalani kupaa,kuingia kwenye nyumba kichawi na mambo kadha wa kadha

Kwahiyo ni sahihi kusema huwezi kutenganisha uchawi na majini
Hivi haya ma jin yanaweza kuonekana physically?
 
Kwa kweli ukisikia neno uchawi mwenzie jinn anakua hapo pembeni

Kumbe hizi ndiyo process sawa homie

Aisee baada ya hapo anachopata ni nini mtu anaefanya yote hayo
kuloga tu huku akiwa masikini wa kutupwa?

Halafu wakati wa makubaliano
Majini yanakua live ?

Hivi haya ma jin yanaweza kuonekana physically?
Sio lazima mchawi awe na jini muda wote,ila kuna mambo ambayo jini anatakiwa awepo

Mchawi anapata raha ya kuona wewe hufanikiwi au unapata shida hapa duniani,ndio raha yake hiyo

Kuna ishu nyingine inatia raha pia,mfano wenyewe wanakwambia hukaa barabarani na kuwazingua watu tu,ndio unaona umesimamisha basi hapa linaenda kusimama kule mbele,ni kazi yao hiyo sometime wana have fun

Wakati wa mapatano wanakuwa live,wanakuwa kwenye ukimwengu wa kichawi ,huenda wasiwe kwenye umbo lao halisi lakini wanakuwa kwenye maumbile ambayo wenyewe wanajua
 
Je una uwakika gani kwamba hiyo jamii haijishughulishi na uchawi? Au kwakuwa hawatuonyesho wazi wazi?
Ndiyo ningekua na uhakika kama wangefanya wazi wazi
Hiyo jamii inatumia uchawi ingawa sio kwa kiwango ambacho tunakiona huku kwetu

Unaweza niuliza nimejuaje?

Kupitia sanaa zao kama sinema,tamthilia na mambo kama hayo, kazi yoyote ya sanaa huwa inatoa materials zake kwenye jamii husika

Huwa tunaona matumizi ya kupiga Ramli kwa kutumia karata au gololi au vitu vingine lakini vikiashiria dhana ya uchawi kwenye jamii yao
vipi kama wanatumia story za kale kwenye sanaa zao

kama kuna watu humu wapo huko basi watujuze ili tujue ukweli hilo jambo lipo kwa kiasi gani
Siwezi kusema uchawi umeundwa na mwanadamu, bali umeumbwa na Mungu, kwa mujibu wa qur'an uchawi ulifundishwa na Malaika wawili ambo ni Haruti na Maruti kama kumbukumbu ipo sawa

Lengo ni mtihani kwa wanadamu,na kabla hawajamfundisha mtu yoyote yule,waliwaambia huu ni mtihani kwenu,yeyote atakaye taka kujifìunza basi amekufuru na hata uona ufalme wa Mungu

Lakini pili Allah akasema hakika uchawi hauwezi kumdhuru mtu yoyote isipokuwa kwa idhini yake

Kwa maana Allah akiruhusu uchawi ukidhuru basi utakudhuru,na waeza jiuliza kwanini Mungu aruhusu hili? Jibu yote ni mitihani kwa waja wake
Yaani hapa ndiyo nachoka kabisa
Kivipi Allah atuundie uchawi usio na manufaa kama njia ya mtihani ?

Pia umesema haumpati uchawi mtu mpka Allah aridhie 🤔

Yaani ana ruhusu mtu alogwe kwa uchawi aliouanzisha mwenyewe
Kisha baadae atamchoma moto mlogaji?
 
Ndiyo ningekua na uhakika kama wangefanya wazi wazi

vipi kama wanatumia story za kale kwenye sanaa zao

kama kuna watu humu wapo huko basi watujuze ili tujue ukweli hilo jambo lipo kwa kiasi gani

Yaani hapa ndiyo nachoka kabisa
Kivipi Allah atuundie uchawi usio na manufaa kama njia ya mtihani ?

Pia umesema haumpati uchawi mtu mpka Allah aridhie 🤔

Yaani ana ruhusu mtu alogwe kwa uchawi aliouanzisha mwenyewe
Kisha baadae atamchoma moto mlogaji?
Wakati wanaelekezwa kwamba huu ni uchawi ataye jifunza hataona ufalme wa Mungu,je haikutosha kuwa ni onyo?
 
Hello jamii intelligence 👋

Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni
Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an

Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema:

Usimwache mchawi kuishi
Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi

Uchawi umetajwa pia kwenye Qur’an, hasa Al-Baqarah 2:102 ambapo inazungumzia habari ya uchawi na watu kujifunza mambo hayo
Huu nao ni ushahidi Qur'an inatambua habari za uchawi

kwa mantiki hii dhana ya uchawi ni ya kale sana

Huku Africa watu bado wamekumbatia hii imani sana, sijui huko Ulaya ikoje

Utasikia mtu anasema
👇
Mtoto huyu karogwa, sio akili zake.

Hapa tunaona uchawi unatajwa kama kitu ambacho kinaweza kubadilisha hali ya mtu
Alikuwa mzima, ghafla akawa kichaa au mtu asie sawa kama alivyokua kabla

Mtu anaumwa, unaambiwa karogwa

Sasa najiuliza...

Uchawi umetengenezwa au umeundwa kwa kufanya vitu negative tu?

Hakuna namna huo uchawi kama upo unaweza kutumika kwa njia positive?

Yaani tukaamua kutumia akili ya mtu kilaza akawa genius, kama vile inavyoaminika kwamba uchawi unaweza kumbadilisha genius kuwa kilaza?

Kuna hii pia👇

Ooh, wachawi wanapaa usiku...

Kwanini sasa kama hiyo technology ipo tusiitumie kupunguza foleni?

Huo usafiri wa kupaa uwe official sasa

Nyie wachawi wa JF(jokes)
haiwezekani kuwa hivi yaani huu uchawi ukawa na tija?

Hivi uchawi unafanya kazi kweli au ni mambo ya nadharia tu?

Niliwahi kua na matatizo ya kupata maumivu ya kicwa nakizunguzungu

Basi kuna mtu akamwambia mama:

Huyu ShesRise_1 amelogwa asifanye vizuri shuleni na si haba shuleni nilikua najitahidi kwahiyo huyo mama akamuambia mama angu huenda nimelogwa ili nirudi nyuma kimasomo🤔

Heh! 🤔

Nikastuka

Nikawaza, haya yatakuwa mambo gani?

Basi nikaanza kufanyiwa zile zinazoitwa tiba za Kisunna, visomo na mambo mengine

Ajabu ni kwamba kuanzia pale ndiyo kwanza nikaanza kupata maruerue.

Usiku naogopa kulala mwenyewe.

Naota ndoto za ajabu, heh... tafrani mtindo mmoja

Kumbe ile issue ya kuanza kuota mauza uza ni kwa sababu
ya saikolojia bana
Yaani saikolojia kwa maana baada ya kusikia nimelogwa na kupelekwa kwenye visomo

Ndiyo ubongo ukaanza kuniundia mapicha picha

So nilivyoambiwa tu vile, akili yangu na ubongo wangu vikaanza kujishughulisha na hayo mambo

Mara nione hiki...

Mara nisikie kile...

Mara nianze kujiuliza, Hivi huu ni uchawi gani?

Asieee!

Nikakaa nikasema:

Hapana, hizi mbona kama fix?

Na mimi by nature nina kaubishi fulani sipendi kumezeshwa mambo japo mwanzo wali ni win

Nikaacha kabisa huo upuuzi

Nikaamua ku-clean akili yangu

Kuanzia hapo nikiambiwa

Njoo kwenye visomo

Nawaambia

Mimi sina tatizo lolote

Na kweli, nilifanya vipimo hospitali nikambiwa kicwa kilikuwa kinauma kwa sababu sikuwa na damu ya kutosha, na ndiyo maana nilikuwa naumwa kicwa na kizunguzungu

Na hata sijui ilikuaje na mama akaingia kwenye mtego wa rafiki yake akaacha kunipeleka hospital kwanza akaanzia kwenye imani huku

Nikatumia zangu dawa nikawa fresh

Sijaumwa tena kicwa, labda cha mafua tu

Sioni mauza mauza wala nini

Naishi vizuri kabisa

Ndipo nikaja kugundua kumbe mambo mengine ni saikolojia tu

Wala hakuna cha uchawi wala nini

Na kuna hii pia ya majini kutaja uchawi bila majini sio sawa ni mtu na shoga yake

Sasa imagine eti mtu anapandisha mashetani anataka dhahabu...

Heh! Dhahabu sasa inatoka wapi yani?

Mashetani wana migodi yao huko?

Nimetoa mtazamo wangu kuhusu hii dhana ya uchawi

Je, uchawi ni nguvu halisi?

Au wakati mwingine tunaita kitu uchawi kumbe kuna sababu za kiafya, kisaikolojia au mazingira ambazo hatujazijua?

Na kama kweli uchawi una uwezo wa kumbadilisha mtu kutoka kuwa genius mpaka kilaza...

Kwanini usitumike kinyume chake?

Au kama wachawi wanaweza kupaa...

Kwanini bado tunakaa kwenye foleni?

Kama hii dhana ya uchawi haina tija kwanini tuna ing'ang'ania?

ShesRise_1 ✋️
Katika maisha yangu, sjawahi kuamini kama uchawi upo
 
Back
Top Bottom