Kiki kwenye siasa ni kukwepa uwajibikaji!

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
21,023
Reaction score
49,078
Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?

Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji

Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?

Nyie mmelalamikiwa mara ngapi kwa kufanya ufisadi, tena kwa ushahidi, mbona hamuongelei?
Ila mkisikia Heche ana magari 5, mnalipuka! Huu ni ushamba au ni ujinga?

Mnaacha kusikiliza kero za wananchi, mnajadili CHADEMA kila siku kana kwamba kila mwananchi ni CHADEMA

Nashangazwa pia na viongozi wa hii nchi wanavyoacha kutatua kero za wananchi na kuanza kushupalia wapinzani

Vipi kuhusu Katiba Mpya?
Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi?
Vipi kuhusu Muungano?
Vipi kuhusu ajira, wakati watu wengi waliomaliza vyuo wanakaribia kuishia kuwa bodaboda?

Vipi kuhusu ile bima ya afya kwa wote?
Vipi kuhusu elimu bora?
Vipi kuhusu watu kupotezwa?

Vipi kuhusu October 29?

Au mmeweka Lissu gerezani kama kutafuta kiki?

Maana inaonekana watu wasijadili tena vitu vingine
Kila siku ni attention kwa Mahakama ili tukija kushtuka ni 2030.

Mmetumia Lissu kama kete?

Kimsingi, kama kuna kesi dhidi yake, basi mahakama ifanye kazi yake na iamue kwa mujibu wa sheria

Lakini hizi dana dana zisizo na mwisho ni uonevu mkubwa kwa mshtakiwa na kwetu sisi wananchi

Tukisema hana kosa ila mnamtumia
Kusogeza muda mbele na kukwepa kuwajibika tutakua tunakosea?

Wananchi wana kero nyingi.

Msituambie kila siku kuhusu CHADEMA tu tuambieni kuhusu maisha ya wananchi ajira, afya, elimu, uchumi na usalama wao

Kuna tofauti kati ya kuhoji kwa maslahi ya umma na kudandia kila jambo la chama kingine kwa sababu tu ni chama kingine

ShesRise_1 ✋️
 
Wenzako wanalipwa ooh
 
siasa ni sayansi ndugu zangu,
ni vizuri kufahamu hilo kabla ya kuingia katika siasa na kudhani kwamba siasa ni kazi ya kutoa mapepo na kutenda miujiza kwa wenye mapepo ya kisiasa na wanaojua kulalamika tu bila kua na altenatives za malalamiko yao.

lakini muhimu sana kufahamu kwamba,
"mambo ya siasa sio ya kuweka kwa roho, ni vizuri yakaishia kwenye lungs tu".

hayo ni maneno yaliyowahi kusemwa na mwanasiasa wa Kenya, ambae kwasasa ni senator wa county ya Uwas Ngishu Jackson Kiplagat Arap Mandago :NoGodNo:
 
Wewe ni mmoja wanaolipwa pesa kuropoka hapa JF. Halafu wajifanya eti siasa usiweke kwa moyo.
 
Sasa hapo umejibu nini kuhusu hoja makhususi mezani Tlaatlaah?

Umeshindwa kudonoa hata kipande kimoja ujibu umeishia kuhubiri ?

Jitahidi kuonesha uwezo wako kidogo
Au uwezo wako umeishia hapo?
 
sina haja ya kulipwa kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi tu gentleman.

ukiweka siasa kwa roho utaumia tu gentleman,
na kujitaftia matatizo ya kiafya bure tu.
huna haja ya kuhifadhi masuala ya kisiasa moyoni, kwasababu hakuna mahali saisa itapoa ispokua itabadilika tu :NoGodNo:
 
Sasa hapo umejibu nini kuhusu hoja makhususi mezani Tlaatlaah?

Umeshindwa kudonoa hata kipande kimoja ujibu umeishia kuhubiri ?

Jitahidi kuonesha uwezo wako kidogo
Au uwezo wako umeishia hapo?
In fact,
ninaona unaexpose masuala ambayo inaonekana yanakuumiza moyo,
lakini pia yakidhihirisha uvamizi katika masuala ya sayansi ya siasa.

halafu,
vyama vyote vya siasa ni mali ya umma,
unataka nani avizungumzie hivyo vyama vya siasa?

utapata tabu mno ikiwa siasa utaiweka kwenye roho nakudhani chama cha siasa kinaweza kuongozwa kama nyumba ya ibada, huku wanaoifahamu wakikutazama tu na pengine kukuonea huruma, coz hakuna namna watakuskiza na kufanya mambo kulingana na matakwa au malalamiko yako, bali watafanya kulingana na vipaumbele vyao na chama chao:NoGodNo:
 
🚮🚮 🚮
 
Hizo ni dalili bayana za walioshindwa na hawataki waonekane wameshindwa. Wana inferiority complex. Hata maisha nje ya siasa hao watu wapo. Kukubali madhaifu ni hatua moja ya kujitambua na kurekebisha ulipokosea.

Kuna wadudu gani wale ukiwaweka kwenye ndoo wazi hawatoki wote, akipanda mmoja wa chini anamvuta wanarudi chini wote. Ndo CCM hao na mjane wao.
 
Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?

Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji

Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?

Nyie mmelalamikiwa mara ngapi kwa kufanya ufisadi, tena kwa ushahidi, mbona hamuongelei?
Ila mkisikia Heche ana magari 5, mnalipuka! Huu ni ushamba au ni ujinga?

Mnaacha kusikiliza kero za wananchi, mnajadili CHADEMA kila siku kana kwamba kila mwananchi ni CHADEMA

Nashangazwa pia na viongozi wa hii nchi wanavyoacha kutatua kero za wananchi na kuanza kushupalia wapinzani

Vipi kuhusu Katiba Mpya?
Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi?
Vipi kuhusu Muungano?
Vipi kuhusu ajira, wakati watu wengi waliomaliza vyuo wanakaribia kuishia kuwa bodaboda?

Vipi kuhusu ile bima ya afya kwa wote?
Vipi kuhusu elimu bora?
Vipi kuhusu watu kupotezwa?

Vipi kuhusu October 29?

Au mmeweka Lissu gerezani kama kutafuta kiki?

Maana inaonekana watu wasijadili tena vitu vingine
Kila siku ni attention kwa Mahakama ili tukija kushtuka ni 2030.

Mmetumia Lissu kama kete?

Kimsingi, kama kuna kesi dhidi yake, basi mahakama ifanye kazi yake na iamue kwa mujibu wa sheria

Lakini hizi dana dana zisizo na mwisho ni uonevu mkubwa kwa mshtakiwa na kwetu sisi wananchi

Tukisema hana kosa ila mnamtumia
Kusogeza muda mbele na kukwepa kuwajibika tutakua tunakosea?

Wananchi wana kero nyingi.

Msituambie kila siku kuhusu CHADEMA tu tuambieni kuhusu maisha ya wananchi ajira, afya, elimu, uchumi na usalama wao

Kuna tofauti kati ya kuhoji kwa maslahi ya umma na kudandia kila jambo la chama kingine kwa sababu tu ni chama kingine

ShesRise_1 ✋️
Pamoja na Changamoto walinazo hao wanaodandia hoja za kuwananga Chadema ila kwa upande mwingine Chadema wanatakiwa kujipambua kuwa ni chama cha namna gani ili kuweza kuchora mstari ulionyooka katika ya Chama cha Siasa na vikundi vya wanaharakati hata kama kuna mahali wanakutana katika mapambano yao ya kudai haki na usawa kwenye jamii.

Kuna aina fulani ya mazingira ambayo Chadema wameweka kama loophole ambayo maadui zao kisiasa wanaitumia kuwafarakanisha. Kwa hiyo wasipokuwa makini wanaweza kujikuta wanapigiwa miluzi ya ajabu ajabu kutoka kila kona kiasi cha kusababisha na wao wapoteze focus ya kile wanachokiamini na kukipigania.
Ukweli vita waliyonayo CDM ni kubwa sana.
 
Hivi kudandia mambo ya chama kingine ambayo hayawahusu ni umbeya au kutafuta kiki?

Hii haimaanishi watu wasihoji au kukosoa mnaruhusiwa kabisa kuhoji

Lakini watu wa humu jukwaani wa CCM kuanza kushupalia mambo ya CHADEMA, ni kwa sababu wao ni waadilifu sana au ni umbeya tu?

Nyie mmelalamikiwa mara ngapi kwa kufanya ufisadi, tena kwa ushahidi, mbona hamuongelei?
Ila mkisikia Heche ana magari 5, mnalipuka! Huu ni ushamba au ni ujinga?

Mnaacha kusikiliza kero za wananchi, mnajadili CHADEMA kila siku kana kwamba kila mwananchi ni CHADEMA

Nashangazwa pia na viongozi wa hii nchi wanavyoacha kutatua kero za wananchi na kuanza kushupalia wapinzani

Vipi kuhusu Katiba Mpya?
Vipi kuhusu Tume ya Uchaguzi?
Vipi kuhusu Muungano?
Vipi kuhusu ajira, wakati watu wengi waliomaliza vyuo wanakaribia kuishia kuwa bodaboda?

Vipi kuhusu ile bima ya afya kwa wote?
Vipi kuhusu elimu bora?
Vipi kuhusu watu kupotezwa?

Vipi kuhusu October 29?

Au mmeweka Lissu gerezani kama kutafuta kiki?

Maana inaonekana watu wasijadili tena vitu vingine
Kila siku ni attention kwa Mahakama ili tukija kushtuka ni 2030.

Mmetumia Lissu kama kete?

Kimsingi, kama kuna kesi dhidi yake, basi mahakama ifanye kazi yake na iamue kwa mujibu wa sheria

Lakini hizi dana dana zisizo na mwisho ni uonevu mkubwa kwa mshtakiwa na kwetu sisi wananchi

Tukisema hana kosa ila mnamtumia
Kusogeza muda mbele na kukwepa kuwajibika tutakua tunakosea?

Wananchi wana kero nyingi.

Msituambie kila siku kuhusu CHADEMA tu tuambieni kuhusu maisha ya wananchi ajira, afya, elimu, uchumi na usalama wao

Kuna tofauti kati ya kuhoji kwa maslahi ya umma na kudandia kila jambo la chama kingine kwa sababu tu ni chama kingine

ShesRise_1 ✋️
Ccm tayari wanajua wameshaonekana ni chama kibovu na wao ukweli huo wanaujua. Na kwa sehemu kubwa cdm ndio wamechangai kuanika ubovu wa cdm. Sasa wanachofanya ccm ni kuonyesha wao sio wabovu peke yao, bali hata cdm ni wabovu kama wao ama zaidi.
 
Hizo ni dalili bayana za walioshindwa na hawataki waonekane wameshindwa. Wana inferiority complex. Hata maisha nje ya siasa hao watu wapo. Kukubali madhaifu ni hatua moja ya kujitambua na kurekebisha ulipokosea.

Kuna wadudu gani wale ukiwaweka kwenye ndoo wazi hawatoki wote, akipanda mmoja wa chini anamvuta wanarudi chini wote. Ndo CCM hao na mjane wao.
423799.jpg

Kaa.

423800.jpg

Ukiweka kwenye ndoo wakiwa 10 au 20 hapandi juu hata mmoja. Wataishia kushushana tu. Usiwe KAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom