Hilo jamaa akili kubwa,atakaemuhoji awe amejipanga hasa
Tatizo mmejaa mawazo ovu kila wakati.Akina mama nyie mnataka kupanuliliwa wapi? Huyu ndiye anatumia ubongo kuongea?
Kupotezeana muda tu. Kama Magufuli hajaitwa mbeba maono asiende... Tuone watamfanya nn.Huyu Mkurugenzi Charles Mahera tunajuwa namna alivyopata hii nafasi ya Ukurugenzi wa NEC kwa upendeleo ili aje atumike kumptisha Magufuli akishindwa au atengeneze mazingira ya Magufuli kushinda...
Acha Mwamba aende, wenyewe watasunda mpira kwapani. Nimeipenda hii akawape live.TL asiende tukianzishe hapa hapa. Haina haja ya uchaguzi tena. Wamuite Magufuli kwanza - anadhalilisha akina mama, anafokea wapigakura eti hawapati maendeleo wakichagua wapinzani, sasa wanasema eti TL ana uraia wa nchi nchi nyingine! Waache ushenzi Watanzania tuamue kiongozi tunayetaka atuongoze.
Yeye ndio mbeba maono ya Tume ya Uchaguzi, haonywi wala hakanywiWameshamuonya magufuli ?
Moto kwenye keyboard ni kawaida mbona? toka nje ukutane na rungu za afande Muroto wewe!MNATAKA KUONA MOTO MKUBWA UKIWAKA KILA MAHALI, NYIE NEC NYIE OHOOOOO!!!!!
Basis sawa.ila nothing less,nothing more..Wanazo rekodi zote zitawekwa asikilize na ajibu moja baada ya ingine.
Huu ni mwanzo tu tunaelekea kwenye hali halisi.
Haya ngoja tuone umaarufu uongezeke kwani kuna tatizo si ndiyo mshangilie kabisa!?Meko kwisha habari yake. Ameamua kushirikisha tume imnusuru, but it's too late. Lissu hakamatiki mida hii. Sana sana wanamuongezea umaarufu tu
Hivi msemaji wa Chama anaongea kwa niaba ya nani?Aliongelea mgombea individual na kumtaja jina lake? Akamtaja Labda Tundu Lisu kwa jina? Ulishamsikia Magufuli akimtaja Lisu kwa jina lake?
Pumbavu mbwa koko wewe,mtu awe anaongea uongao na kuzusha mambo kinyume cha sheria aachwe. Kisa ni mpinzani?Majibu ni marahisi tu, kuwa tume ya uchaguzi sio huru. Wagombea kibao wa upinzani wameenguliwa na tume ya uchaguzi kwa hila, na wagombea wa ccm wanavunja sheria wazi wazi bila kuchukuliwa hatua. Ni hivi, safari hii kuchezea kokote matokeo hakutakuwa na kumuachia Mungu fullstop.
Anaropoka kuliko yule anaewambia dada zetu " unataka upanuliwe wapi"?.Ila jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Hata kurusha tu teke la maana hujui halafu unatishia hahahaha...!!MNATAKA KUONA MOTO MKUBWA UKIWAKA KILA MAHALI, NYIE NEC NYIE OHOOOOO!!!!!
Basis sawa.ila nothing less,nothing more..
Mnalo mwaka huu.Magu siku ile anachukua form aliunguruma pale ukumbi wa mikutano wa ccm na swaga zake za ndege,reli na hydro power sasa kaenda field kakuta wananch wanaona hizo swaga ni utopolo,kakunja mkia,sasa anatafuta huruma ya NECIla jamaa anaropoka aisee hana breki , lolote linalokuja kichwani anaongea tu bila kudigest.
Kama siyo huru mbona unashiriki uchaguzi na umesaini masharti ya kampeni?? Hivi nyinyi mnashida gani kwenye vichwa vyenu??!!Majibu ni marahisi tu, kuwa tume ya uchaguzi sio huru. Wagombea kibao wa upinzani wameenguliwa na tume ya uchaguzi kwa hila, na wagombea wa ccm wanavunja sheria wazi wazi bila kuchukuliwa hatua. Ni hivi, safari hii kuchezea kokote matokeo hakutakuwa na kumuachia Mungu fullstop.
Pumbavu mbwa koko wewe,mtu awe anaongea uongao na kuzusha mambo kinyume cha sheria aachwe. Kisa ni mpinzani?
Kama siyo huru mbona unashiriki uchaguzi na umesaini masharti ya kampeni?? Hivi nyinyi mnashida gani kwenye vichwa vyenu??!!