JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 6,843
- 14,235
Dole la Kati limeingia mahara pake,
Kwanza walitunga Sheria kuzuia ukawa isiundwe,wakashindwa,wakatunga Sheria hakuna vyama tofauti kupigiana debe,wakashindwa,
Wakazuia choper ya TL isiruke,wakashindwa,
Sasa wanaitumia NEC kumsumbua TL,watashindwa pia.
TL ni maraika,analindwa na Mungu,hamkuweza kumuua kwa risasi,sasa dole la Kati limewaingia vzr.
Jibuni hoja,bunge gani liliamua manunuzi ya Ndege,ujenzi wa uwanja wa chato,wekeni ushahidi.
Kwa miaka mitano,mlizuia wengine wasiongee,sasa hv,wtz wanawaonyesha hasira zao,you just can not kill an idea,mara hii tunawatimua magogoni,