Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Mkuu kwa hiyo wewe unadhani Elon Musk alipoanzisha hiyo kampuni yake hataleta ushindani kwenye kampuni nyingine zinazo toa huduma hiyo? Hata kama yeye hajaanzisha kwa lengo la kushindana na makampuni mengine, ila italeta ushindani mkubwa.
 
Muongo mkubwa weww
 
Sisi tunanunua mtumba, ten million is enough
 
Anyway msikate tamaa
Zamani nokia jeneza ilikuwa inauzwa laki na nusu... 😄😄 Philips ya mkonga elfu 90 na ukiwanayo we ni 'freemason'
 
Endeleeni kujidanganya Tu! Miaka 100 ijayo kuna kizazi kikisoma hili andiko lako watajua alieandika alikuwa kichaa!


Hii ni zambia so far check hii internet
 
Chief latency na speed ya Starlink sio ya kipuuzi. You know better. Watu wanapata observed 50ms na 100+Mbps, better than observed LTE za bongo.

Hivyo vifurushi vya 55k na 120k ni 20Mbps mpaka 50Mbps japo latency yake is much better kwa Radio na Fiber.

Ishu inabaki price yake tu. $99 kwa huku kwetu parefu.
 
Umeandika sana ila unsubstantiated hearsay. Mawimbi yapo muda wote yanakuwa beamed hata kama huna device.
 
Pengine kaka utusaidie kidogo,

200Mbps kwa Tanzania ina cost how much?
 
Kwa uelewa wangu mdogo ingawa siyo subject expert wa haya maswala ya internet,

●Kuna kiwango fulani cha Mbps based on my economic analysis, at minimum mtu akiwa anatumia, starlink is more cost advantageous kuliko hizi platform nyingine, the opposite is true, assuming other factors holds constant.

I stand to be corrected.
 
Sidhani kama Elon Musk atatoa huduma hiyo kwa bei ya msaada.
Pamoja na kuwa tunamshukuru kwa kuongeza wigo wa huduma hii lakn kusema kwamba atakuwa msaada kwa sisi watumiaji.
Bado ni kitendawili kikubwa na ukizingatia he is a businessman
 
50ms inapitwa na 3G thats the point, 3G ya kisasa kama halotel na Voda nimeona mpaka 24ms.

Kuhusu bei usisahau $99 ni basic package, premium package ambayo ndio unaona vyombo vya habari wanatest ni $500.

Pia kuhusu speed starlink ina vary kupita maelezo, leo kibongo bongo nikilipa 200,000 ni uhakika napata 100mbps ila starlink hio $99 speed inashuka as low as chini ya 1mbps na inapanda as high as 400mbps, inategemea at that time wangapi mpo connected.

Hii website ina status ya starlink all over the world


Mfano worldwide hapo upload speed average ni 12mbps on minimum ni 0.09mbps na maximum ni 75mbps.

Download speed average 113mbps on peak 420mbps na minimum ni 0.25mbps

Ukicheki ping ya chini kabisa ni 9ms on average 49ms na inapanda mpaka 400ms.

Kama umewahi kuangalia mpira online ama kucheza game ikipanda hio 400ms ndo unaona inscratch kama ni game unapata Disconection ama server inaku kick.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…