Chief-Mkwawa
Reaction score
13,039

Profile posts Latest activity Postings About

 • Chief naomba namba yako mkuu....Nimependa article yako ya kutengeneza website
  nifanyaje??...kila napofungua Kodi video zake zinakuwa hazina rangi nzuri inakuwa kama black and white muda wooote.
  Mkuu kwema? Natambua uelewa wako kwenye suala la teknolojia. Ushauri tafadhali. Nahitaji simu kwa bajeti isiyozidi 400,000. Iwe na, pamoja na mabo mengine, uwezo mzuri wa betri, camera quality nzuri; vyema zaidi ikiwa 4G enabled. Kwa uzoefu na utaalamu wako ungependekeza simu zipi kwa mfano? Natanguliza shukrani.
  • Thanks
  Reactions: Kitena
  Kitena
  Kitena
  Okay hebu tafuta simu zilizotengenezwa na Motorola mobile, lenovo company. Aina ya Moto G, mfano XT 1032 na kuna nyingine nyingi zilizotengenezwa na hiyo company ya lenovo ni nzuri sana na zinakaa sana na charge
  bro mimi simu yangu ni samsung galaxy grand 2(SM-G7102)
  Sasa version yake ni 4.3 jelly beam.....nilikuwa natamani sana kuipeleka ktk kitkat walau version 4.4.4 namimi nijickia raha eti!

  pia kwani kuna firmware mpya kwa model hii ya simu?
  shwar ndugu,samahan ila nimeona hiyo post ya duka linalouza mashine ya kuprint tshrt,vkombe na sahan na nlitaka kujua hilo duka linauza hiyo mashine kwa bei hyo kweli au na kwa jins ulivoiona mashine ikoje?samahan kwa usumbufu
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top