Daah mkongwe kweli ulisema, hili fala limeenda na 50K yangu.
Lilienda vzr set ya kwanza likaongoza kwa games 5-2 ... zikaanza kurudishwa limesimama kindezi tu. Mijitu mingine haijui tunaweka hela zetu. Kenge kbs hili Monfils.
Daah pole sana mkongwe..Monfils siku hizi kawa ndezi..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚yaan nikiingia hapa nafarijika sana hata nikiloose kwa michango ya wadau wa hili jukwaa nafarijika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…