Wanaoulizia namna ya kudeposit 1xbet kwa bitcoins
Haya ndio maelekezo
Mengine utajiongeza maana mambo ni mengi na muda ni mchache
1, Fungua acc
LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins
2, baada ya kufungua utaona quick buy, chini yake utaona wauza bitcoins waliopo,
Napendekeza mchague Mhonde sababu yupo fasta na anauza bitcoins kwa rate nzuri na zabei ya chini, na anatumia mpesa na tigopesa na Airtel money
3, Baada ya kumchagua muuzaji itafunguka page ambapo utatakiwa kujaza kiasi cha hela unayotaka kununnua bitcoins na pembeni yake itatokea biticoins utakazo pata
Kisha Bofya "send trade request"
4 baada ya kubofya send request itafunguka page ambayo itakupa maelekezo namna ya kulipia bitcoins zako kwa muuzaji kwa njia ya mpesa na tigopesa
5 lipia biticoins zako kwa mpesa au tigopesa, na baada ya muamala kukamilika rudi kwenye localbiticoins kisha bofya "i paid"
Baada ya dk 0 bofya my wallet utaona bitcoins zako zimeingia
JINSI YA KUDEPOSIT 1XBET
1, Kwenye 1xbet bofya deposit au top up
Kisha chagua bitcoins
2, Baada ya kubofya bitcoins itafunguka ka page kana address ndefu hivi,
copy hiyo address
Kisha rudi localbitcoins.com
Kwenye localbiticoins bofya "wallet"
Kisha utaona "send bitcoins"
Ukiwa kwenye send bitcoins utaona sehemu imeandikwa
"Receiving bitcoins address" na
"Amount in bitcoins "
Kwenye "Receiving bitcoins" Paste address uliyo copy 1xbet
Kwenye "Amount in bitcoins" jaza kiasi cha bitcoins
Kwenye "more options" usijaze kitu
Kisha bofya "Continue"
Utatakiwa kuweka password yake
Baada ya hapo subiri kuanzia dakika 5 hadi nusu saa muamala utasoma kwenye acc yako ya 1xbet kulingana na currency uliochagua 1xbet
JINSI YA KUWITHDRAW
Unafanya kinyume cha kudeposit
Yaani unakwenda localbiticoins unakopi receiving address unakuja kui paste upande wa withdraw 1xbet
Mzigo unaingia wallet ya local bitcoins kisha this time unachagua buyer aka mnunuzi
Unasend request anakutia mzigo kwenye mpesa/tigopesa yako
Makato yapo hasa wakati wa kuweka
Mfano ukiwa na elf10 itafika 1xbet elf7+
NB
Jaribu kununua bitcoins angalau za kuanzia buku 4 na kuendelea
Kama kuna bitcoins zinachelewa kuingia unaweza kumpigia muuzaji, wanaweka no zao
Ukikwama nicheck PM kwa maelekezo zaidi
Cc
Mhakiki MESHACK WARIOBA Ba Jau