Status
Not open for further replies.
Kijana uko sahihi, wewe omba tu ndiko ziliko akili yetu. Kuomba ndiyo fani yetu, elimu ingetolewa bure wajanja wangeongezeja. Bora wengi wakose mngesumbu.
 
unakuta mkuu wa idara anahudhuria mafunzo au semina aliyopaswa aende mtu mwingine na akitoka huko waliojifunza hata hayatekelezwi kwa vile yeye si mtekelezaji kweli tunasafari ndefu
 
Wakuu wa Wilaya hawana Kazi, wafutwe! Hawamo hata ktk Katiba! Huapishwa na Wakuu wa Mikoa na siyo Rais! Kazi ya kusimamia Maendeleo ni ya Wakurugenzi wa Halmashauri! Ma- DC, eti ni Wenyeviti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya! Waachiwe Polisi kazi hiyo, na kuwajibika kwa IGP! Ma-RC, badala ya kuhudhuria Sherehe tu, wasimamie Wilaya zao zote, wao wenyewe, wakiwa wawakilishi wa Rais! Itapunguza sana Gharama za Serikali!
huo ni mtaji wa ccm haiwezi kufanya hivyo
 
    1. Usikubali kofia mbili; wewe ni Raisi, uenyekiti wa CCM muachie mwingine ili chama kibaki chama na serikali ibaki serikali.
    2. Washauri Wabunge wa CCM, watangulize maslahi ya taifa mbele ya maslahi ya chama.
    3. Washauri Wabunge wa CCM kama itawezekana wamchague Spika wa Bunge asiyeegemea upande wowote.
    4. Pokea ushauri kutoka kwa vyama vya siasa lakini uwe huru kufanya maamuzi kulingana na matakwa ya Katiba ukizingatia maslahi ya wananchi.
    5. Usiruhusu Ikulu kutumika kwa maslahi ya CCM, vikao vya chama vifanyike nje ya Ikulu.
    6. Washauri CCM waachie mali za wananchi kwa kuzirudisha mikononi mwa wananchi kupitia serikali.
    7. Agiza vyombo vya dola vitoe haki sawa kwa wananchi bila upendeleo.
    8. Futa sheria zote kandamizi zinazozuia uhuru wa kutafuta, kupokea na kutoa habari. Vyombo vyote vya habari viwe huru.
    9. Hakikisha mikataba yote tunayoingia inawekwa wazi ili vijadiliwe na kupitishwa na Bunge.
    10. Vikumbushe vyombo vya dola kwamba jukumu lao la kwanza ni kuwalinda Watanzania na mali zao na si kupambana nao.

1.Futa magari aina ya shangingi serikalini

2.lipa madeni yote ya walimu.

3.Pambana na rushwa kwa vitendo maana watanzania wamechoshwa na
maneno.

4.Fanya uteuzi bila kuangalia urafiki wala kulipana fadhila za kijinga kwa masuala nyeti ya taifa.

5.Watetee vijana kwa kuwawekea mazingira ya ajira kwa ustaw bora wa maisha yao.

6.jikinge na upendeleo,kikabila na kidini.

7.Uwe mcha MUNGU ili uwatumikie watanzania kwa upendo mkuu.

8.Upende kusikiliza zaidi na si kusikilizwa.
 
Kama ilifikia mahali wananchi wakatia nia ya kumpeleka ikulu ENL bila kujali mapungufu yake mazito maeneo mengi lazima CCM wabadilike kabla hawajafurumushwa ikulu kwa namna ya ajabu itayowaacha hawaamini nini kimetokea ...
 
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA
 
Waswahili ndio maana umaskini unawapendeza kweli, hoja hapa ni kumshauri Rais do and dots wewe unamrukia Lowasa?

Huwezi kuishi maisha ya Lowasa mpaka unaingia kaburini, kuna wanayemwita Nabii anaheshimika Dunia nzima TB Joshua kaja Tanzania kaenda masaki kwa Lowasa na wameenda wote Monduli, wewe kajamba nani anakujuwa nani? roho mbaya ndio maana liinchi linaalaniwa na miaka inavyokwenda unazidi kuwa maskini, hivi Mungu angekuazima mamlaka yake yapo kwa dakika 2 tu si ungeshautowa uhai wa Lowasa?

Kwako wewe muadilifu ni padre mzinzi Slaa, aliyelihasi kanisa, aliyepora mke wa mtu na sasa anaishi nae kama hawara wewe huyu ndio unamuona muadilifu? poor you.
 
Aanze na ya kuiua CHADEMA kwanza kama Mkapa alivyofanya kwa NCCR, maana wamekuwa na fujo sana mitaani. hII ITAMSAIDIA KUFANYA MAJUKUMU YAKE BILA KUBUGHUDHIWA

muwe mnaelewa maana ya majina yenu ndio tatizo la kitokuwa serious.
 
Well said mkuu
Huu uchaguzi umeacha majeraha mengi na makubwa yanayohitaji kiongozi mwenye busara na hekima kuweza kuyaponyesha. Kwa kuwa Magufuli naye alijitambulisha kama kiongozi anayetaka mabadiliko, aoneshe toka mwanzo kabisa kwamba yeye ni tofauti na business wont be as usual anymore. Tukubali tusikubali ukweli ni kwamba, kulingana na matakwa ya katiba yetu ya sasa, tayari katangazwa na kuapishwa kama Raisi wa Tanzania. Aanze kwa kuwa Raisi wa wote.
 
    1. Usikubali kofia mbili; wewe ni Raisi, uenyekiti wa CCM muachie mwingine ili chama kibaki chama na serikali ibaki serikali.
    2. Washauri Wabunge wa CCM, watangulize maslahi ya taifa mbele ya maslahi ya chama.
    3. Washauri Wabunge wa CCM kama itawezekana wamchague Spika wa Bunge asiyeegemea upande wowote.
    4. Pokea ushauri kutoka kwa vyama vya siasa lakini uwe huru kufanya maamuzi kulingana na matakwa ya Katiba ukizingatia maslahi ya wananchi.
    5. Usiruhusu Ikulu kutumika kwa maslahi ya CCM, vikao vya chama vifanyike nje ya Ikulu.
    6. Washauri CCM waachie mali za wananchi kwa kuzirudisha mikononi mwa wananchi kupitia serikali.
    7. Agiza vyombo vya dola vitoe haki sawa kwa wananchi bila upendeleo.
    8. Futa sheria zote kandamizi zinazozuia uhuru wa kutafuta, kupokea na kutoa habari. Vyombo vyote vya habari viwe huru.
    9. Hakikisha mikataba yote tunayoingia inawekwa wazi ili vijadiliwe na kupitishwa na Bunge.
    10. Vikumbushe vyombo vya dola kwamba jukumu lao la kwanza ni kuwalinda Watanzania na mali zao na si kupambana nao.

Excellent outlook Mag3. Heahima kwako. Hata kama angetekeleza nusu ya uliyoshauri nchi yetu ingekomaa sana kisiasa na ingefika mbali. Mambo mengi ambayo yamefanywa na wabunge wengi wa CCM huko nyuma yalikuwa na malengo ya kumfurahisha mwenyekiti. Hayo hata wao watakubali.
 
Wewe kama nani hata utoe ushauri kwa Magufuli?

Tuondokee hapa.
 
Waswahili ndio maana umaskini unawapendeza kweli, hoja hapa ni kumshauri Rais do and dots wewe unamrukia Lowasa?

Huwezi kuishi maisha ya Lowasa mpaka unaingia kaburini, kuna wanayemwita Nabii anaheshimika Dunia nzima TB Joshua kaja Tanzania kaenda masaki kwa Lowasa na wameenda wote Monduli, wewe kajamba nani anakujuwa nani? roho mbaya ndio maana liinchi linaalaniwa na miaka inavyokwenda unazidi kuwa maskini, hivi Mungu angekuazima mamlaka yake yapo kwa dakika 2 tu si ungeshautowa uhai wa Lowasa?

Kwako wewe muadilifu ni padre mzinzi Slaa, aliyelihasi kanisa, aliyepora mke wa mtu na sasa anaishi nae kama hawara wewe huyu ndio unamuona muadilifu? poor you.
Hoja yako ni nini?

TB Joshua kwenda nyumbani kwa Lowassa haina maana kwamba Lowassa ni msafi. Lowassa ni fisadi.

Hata Yesu alisema yeye alikuja kutafuta na kuokoa waliopotea. Yesu akadhibitisha kupitia Zakayo ambaye alikuwa fisadi wa wakati huo.

TB Joshua kwenda nyumbani kwa Lowassa inawezekana alikuwa anafanya kazi ya Yesu kama alivyofanya kwa Zakayo.

Soma Luka 19:1-10.
1:Yesu aliingia mjini Yeriko, akawa anapita katika njia za mji huo. 2:Kulikuwa na mtu mmoja mjini, jina lake Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watoza ushuru tena mtu tajiri. 3:Alitaka kuona Yesu alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa vile alikuwa mfupi, hakufaulu. 4:Hivyo, alitangulia mbio, akapanda juu ya mkuyu ili aweze kumwona Yesu, kwa maana alikuwa apitie hapo. 5:Basi, Yesu alipofika mahali pale, aliangalia juu akamwambia, "Zakayo, shuka upesi, maana leo ni lazima nishinde nyumbani mwako." 6:Zakayo akashuka haraka, akamkaribisha kwa furaha. 7: Watu wote walipoona hayo, wakaanza kunung'unika wakisema, "Amekwenda kukaa kwa mtu mwenye dhambi." 8: Lakini Zakayo akasimama akamwambia Yesu, "Sikiliza Bwana! Mimi nitawapa maskini nusu ya mali yangu, na kama nimenyang'anya mtu yeyote kitu, nitamrudishia mara nne." 9: Yesu akamwambia, "Leo wokovu umefika katika nyumba hii, kwa vile huyu pia ni wa ukoo wa Abrahamu. 10: Kwa maana Mwana wa Mtu amekuja kutafuta na kuokoa waliopotea."
Usilazimishe hoja za nguvu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom