Status
Not open for further replies.
Hakuna anayemchukia bali tunampenda sana kwa sababu anatimiza ahadi zake za maendeleo. Darasa la tatu hilo katika Tanzania ya Magufuli. Maendeleo hayana chama. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
nipashe.jpg
 
Jiwe kazuia ajira za walimu ,dadeki mi nlitumia hela yangu kwenda kusoma PGDE ili nikimaliza niingie kwenye system nikope hela niachane na kazi deni angelipa mkurugenzi huyu jiwe na roho mbaya yake katupiga Ban ,now nimeamua kuvunja kokoto tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaona sasa wewe,akisoma hapa unawaponza waalimu watarajiwa miaka mingine 7 bila ajira.
 
Hivi baba akifariki alafu asubuhi unaona jamaa anatoka na taulo chumba cha mama uyo ni nani kwako yani upende usipende uyo ni baba mdogo maana mama yako ndio analala naye kwaiyo tupende tusipende baba JK ashasepa na anayetoka chumba cha mama ni magu so ndie rais wetu miye nampenda ila akizingua tunamsema
 
Kwanini hatumfikirii katika uwajibikaji bali visasi na roho mbaya tu!!!

Yaani inafikia hatua hata akiua shetani ataulizwa umemuua wa nini na alikuwa akijipitia tu??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom